ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Mimi mpaka leo ninayo! Nikiwa mjini sina hamu ya kula yaani huwa najilazimisha tu ila nikienda home kijijini nakula vizuri kabisa tena chakula kingi sana! Nikirudi tu mjini hamu inapungua sana na nikila nakula chakula kidogo sana!Ilinitokeo iyo kipindi Niko chuo ...nilikua sina hamu ya chakula cha mighahawa....ila chanyumbani nilikua nakula fresh
Kavu au bichiTumia dawa asili na recomend
Utumie cannabis au bangi kama majani ya chai unachemsha gramme 50 Kwa robo litre tren ichemke dk 3 kisha chuja unywe dk 30 kabla ya meal itakusaidia mkuu
Vinaitwa vitamin B complexKuna vidonge vya kuongeza hamu ya kula jaribu af pia jaribu kula kitu unachokipenda saana na visiwe vya michuzi michuzi