TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Habari za uzima wana JF, Nina changamoto kidogo kwenye kufix Adsense kwenye YouTube Account Yangu, mwenye ujuzi kuhusu hili, Naomba msaada
Vigezo nishatimiza, ndo na apply kwa ajili ya monetization lakini ndo nimestack kwenye hio issue ya Adsense, Asante kwa ushauri 🙏Ushawahi kua na Adsense Account. Ukitimiza vigezo vya YPP inabidi ucreate account pale pae unavoapply sio utengeneze before. Kwahiyo inaboonekana email yako ina Adsense account tayari.
Chakufanya ingia Adsese.Google.com hafu login afu delete iyo account ya Adsense then ka-Apply upya kwenye App/Browser ya Studio.
Kila la kheriMimi wamenikatalia stage ya 3. Wamesema Re-used content inatakiwa nibadirishe contents zote hafu ni apply tena after 30 days (itakua tar 19 April). Ila nilishatimiza Watch hours na subs.