Sijui hili jambo la uume mdogo limetokea wap siku hizi, maana kila mtu anatafuta maumbile makubwa, yani sielewi kwann zamani halikua jana kubwa hivi..... mimi naamini ni sababu ya maneno ya misimu kama kibamia na vitu kama hivyo
Ila kwa kawaida uume ukiwa na inch nne unatosha kabisa kumfanya mwanamke afurahie tendo, tena zaidi sana wanawake hawaenjoy eti sababu uume ukiwa ndani ya uke tu, hapana hata kushikana na kuamshana hisia vizuri inatosha kumfanya afurahie
Jiulize kwann anatumia kidole na anakojoa na kumaliza kabisa haja yake!?? Je wewe uume wako ni mdogo kuliko kidole hiko!?? Msikuze matatizo kiasi hiko aisee[emoji28]
Zamani kama mtu alikua na maumbile madogo kabisa yale tunaona kabisa ni tatizo na labda alipata changamoto wakati wa kutahiriwa kulikua na tiba za kitamaduni ambazo zinafanyika hata sasa, na ndio maana tamaduni ni muhimu, ingawa mkuu wewe inchi 4 wala sio tatizo mkuu piga mechi Acha uoga!! Tatizo ni kama unamaliza kwa dakika chache na gari inazima......
Hayo mengine ni maumbile tu ya kawaida[emoji112]