Msaada tafadhali: Nina kibamia

Msaada tafadhali: Nina kibamia

Salama wakuu

Ni hivi,umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.
Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakin kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya Jf huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa

Natanguliza shukran
Ungekuja tukautest huo mshedede watatu kwa wakati tofauti, Halafu ndio majibu mazuri yangetoka, Maana usikute huwa unakutana na majiko ya jela, tundu kubwa kama sufuria la ugali ukawa na wasiwasi.
 
Na tunawaambia wa BJ na tunauliza inakupalia kooni?
Salama wakuu

Ni hivi,umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.
Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakin kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya Jf huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa

Natanguliza shukran
Hicho hicho ndo chenyewe…jiamini nacho
 
Acha kupoteza pesa uume unakoma kukua pale baleghe inapokwisha hivyo furahia ulichonacho.

Nikushauri tafuta mwanamke wa sifa zako oa akufichie aibu ,habari za kumvulia kila mwanamke pichu/boxer utaaaibika tu.

N.b
Tafiti zinaonesha wanaume huwa hawajiamini na maumbile yao(uume) hata kama yana ukubwa wa kawaida kitu ambacho kea wanawake ni tofauti maana wao hawana muda wa kuanza kufuatilia ukubwa wa maumbile ya wanaume.

Kwa ufupi tu hofu tunajitengenezea wenyewe.
 
Sijui hili jambo la uume mdogo limetokea wap siku hizi, maana kila mtu anatafuta maumbile makubwa, yani sielewi kwann zamani halikua jana kubwa hivi..... mimi naamini ni sababu ya maneno ya misimu kama kibamia na vitu kama hivyo

Ila kwa kawaida uume ukiwa na inch nne unatosha kabisa kumfanya mwanamke afurahie tendo, tena zaidi sana wanawake hawaenjoy eti sababu uume ukiwa ndani ya uke tu, hapana hata kushikana na kuamshana hisia vizuri inatosha kumfanya afurahie

Jiulize kwann anatumia kidole na anakojoa na kumaliza kabisa haja yake!?? Je wewe uume wako ni mdogo kuliko kidole hiko!?? Msikuze matatizo kiasi hiko aisee[emoji28]

Zamani kama mtu alikua na maumbile madogo kabisa yale tunaona kabisa ni tatizo na labda alipata changamoto wakati wa kutahiriwa kulikua na tiba za kitamaduni ambazo zinafanyika hata sasa, na ndio maana tamaduni ni muhimu, ingawa mkuu wewe inchi 4 wala sio tatizo mkuu piga mechi Acha uoga!! Tatizo ni kama unamaliza kwa dakika chache na gari inazima......

Hayo mengine ni maumbile tu ya kawaida[emoji112]
 
Noted mkuu
 
Sawa mkuu
 
Wewe ukishamwaga habari ya kibamia atajua yeye,mimi nina nchi 3 na nusu ila sijawahi kuwaza kuongeza maumbile.Hawa wanawake wa bongofleva hata uwe na nchi 45 bado watahitaji uongeze nchi 6 za ziada.Nasema wewe hakikisha unamwaga tu habari ya kibamia mwachie aliekuumba maana ukijikosoa utadhani ulijiumba wewe matokeo yake utatamani yale mambo ya upinde wa mvua
bro inchi 3 ndogo watakuwa wanakuficha kukueleza tu ila hawaridhiki,
 
Back
Top Bottom