Ngoja nikusaidie kitu, ingawa ni jambo la kitamaduni kidogo....tafuta mtaalamu anayejua kutumia muegeya ama jina lingine mvunge kama tiba ya hilo jambo, wengi wamedanganywa kua ni ukichanja tu ila kuna ibada inafanyika ya kitamaduni kidogo, na hii ni uhakika 100% sina cha kukuongopea!
Ama pia kuna dawa za asili za kunywa ila hizi mara nyingi huleta matokeo mazuri zaidi kwa wale ambao uume uliingia ndani kwasababu mbalimbali ikiwemo ngiri!
Ila hata mtu mwenye uume mdogo humpa matokeo ila kwa taratibu sana na unywe kwa muda mrefu sana, maana itakua inasaidia uume kusimama kwa nguvu hii husababisha misuli kujivuta nje na mishipa ya damu kutanuka na hvyo kuongeza mzunguko wa uume, ila matokeo yake ni taratibu sana sana mkuu!!
Mwenye idea zaidi anaweza kukuongezea!!