Msaada tafadhali: Nina kibamia

Msaada tafadhali: Nina kibamia

Utaua figo na maini.Kua makini,kama huridhiki na ukubwa wa maumbile yako,nenda Benjamin Mkapa Hospital,ukaonane na wataal am,ufanyiwe surgery,uwekewe kama la wacheza pono.Ibaki wewe ni kufanya mapenzi tu,sijui hata pesa utatafuta saa ngapi,itajulikana mbele kwa mbele.Kila la heri.
Hahahahaha!!! Ngoja niarishe Nina nchi 6.2 nataka 8
 
Kama unajuwa kusonga ugali hauhitaji mwiko mkubwa.Huo mdogo unaweza kufika Kila Kona ya sufuria na Dongo likatoka.
 
Salama wakuu

Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.

Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakini kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya JF huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa

Natanguliza shukran
Yaani wiki hii mada za watu kulalamika wana vibamia au mbo.o zao hazisimami vizuri, mara wanakojoa haraka, mada hizo zimeshamiri mno wiki hii, halafu vijana wenyewe wana umri wa miaka 30 tu, mmepatwa na nini bandugu?
 
Nahusiano mengi yanakuwa na changamoto sababu ya vibamia

Kibamia labda wanakielewa watoto wa shule wa la tano na la saba tu

Kwenda huko mbele ni mitaimbo tu ndio wanaelewa
 
Kwa mnaojifariji kwamba 7 inch its enough nawapa Siri kutoka kwa wanawake zenu kwa faida yenu japo mm ni m/mme mwenzenu pia.

Kiac hcho bdo ni kidogo sn kwao, ila 10+ inch ndio wanazozihtaji mjue hilo
 
Shida ni kwamba, atajuaje kuwa huyu ndo kitamtosha, unataka aanze kuchovya chovya ovyo mpaka apate saizi yake?

Akaoe mimba au watoto wadogo alipe gharama na awalee wakue awaoe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom