Asante mfariji [emoji1787]Mungu amekupa kafupi mie napendaga kibamia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mfariji [emoji1787]Mungu amekupa kafupi mie napendaga kibamia sana
Hahaha!! Inaogopesha siyoMtu Alie Nyikani mkuu hiyo Avatar yako VP🤣🤣🤣 daah! Ishi maisha marefu JF 🤣🤣🤣
Hahahahaha!!! Ngoja niarishe Nina nchi 6.2 nataka 8Utaua figo na maini.Kua makini,kama huridhiki na ukubwa wa maumbile yako,nenda Benjamin Mkapa Hospital,ukaonane na wataal am,ufanyiwe surgery,uwekewe kama la wacheza pono.Ibaki wewe ni kufanya mapenzi tu,sijui hata pesa utatafuta saa ngapi,itajulikana mbele kwa mbele.Kila la heri.
Ndio atafute sasa.Wasiotumika wapo kweli?
Yaani wiki hii mada za watu kulalamika wana vibamia au mbo.o zao hazisimami vizuri, mara wanakojoa haraka, mada hizo zimeshamiri mno wiki hii, halafu vijana wenyewe wana umri wa miaka 30 tu, mmepatwa na nini bandugu?Salama wakuu
Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.
Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakini kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya JF huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa
Natanguliza shukran
Urefu wa wastani ni kuanzia nchi 4.1 hadi 5.8Nne mkuu
Shida ni kwamba, atajuaje kuwa huyu ndo kitamtosha, unataka aanze kuchovya chovya ovyo mpaka apate saizi yake?Kuna kitakayemtosha hichohicho
Wewe ukikutana na mtu kama huyo utaridhika naye?Rizikeni mlivyoumbwa
Nimechek sana kuna msela nimesoma naye utafkir mdogo wake na hyo AvatarHahaha!! Inaogopesha siyo
Hivi anai gia kwa username gani wakuu😀
Shida ni kwamba, atajuaje kuwa huyu ndo kitamtosha, unataka aanze kuchovya chovya ovyo mpaka apate saizi yake?
Size doesnt matterWewe ukikutana na mtu kama huyo utaridhika naye?
Wengi wanadai zimamata, wanadai ndogo hazifiki kwenye kona muhimu.Size doesnt matter
Mh, haya banaAkaoe mimba au watoto wadogo alipe gharama na awalee wakue awaoe
Duh hapa amna tiba bali ni mateso hayo amekupaKuna matokeo kweli kwenye kufungia na kitu kizito?
Haiharibu misuli?