Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki likakarudi, nikaenda tena.hospital nikapewa metro(7/7, 10start),
Cipro start, dox7/7 tatizo likaisha na nikaacha mahusiano tangu kipindi hicho, mwezi wa 7/2016 tatizo likarudi tena dr mmoja akaniambia nimeze azithromycin 1g start nikafanya ila tatizo halikuisha, nikaenda hospital nikapima kaswende, kisonono na HIV nikakutwa na kisonono mengine niko safi, dr akanipa cipro na dox nikatumia sikupona, akaja akaniandikia ceftri sindano 1 na azithro start mi nikameza vidonge 3/3@500Mg.
Sikupona, nesi mmoja akanishaur nitumie cefalexin na nitrofurantoin bado tatizo liko pale pale.
Msaada cha kufanya ndugu zangu.