Msaada tafadhali, Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana

Msaada tafadhali, Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana

mbengenyi

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
12
Reaction score
3
Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki likakarudi, nikaenda tena.hospital nikapewa metro(7/7, 10start),

Cipro start, dox7/7 tatizo likaisha na nikaacha mahusiano tangu kipindi hicho, mwezi wa 7/2016 tatizo likarudi tena dr mmoja akaniambia nimeze azithromycin 1g start nikafanya ila tatizo halikuisha, nikaenda hospital nikapima kaswende, kisonono na HIV nikakutwa na kisonono mengine niko safi, dr akanipa cipro na dox nikatumia sikupona, akaja akaniandikia ceftri sindano 1 na azithro start mi nikameza vidonge 3/3@500Mg.

Sikupona, nesi mmoja akanishaur nitumie cefalexin na nitrofurantoin bado tatizo liko pale pale.

Msaada cha kufanya ndugu zangu.
 
Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki likakarudi, nikaenda tena.hospital nikapewa metro(7/7, 10start), cipro start, dox7/7 tatizo likaisha na nikaacha mahusiano tangu kipindi hicho, mwezi wa 7/2016 tatizo likarudi tena dr mmoja akaniambia nimeze.azithromycin 1g start nikafanya ila tatizo halikuisha, nikaenda hospital nikapima kaswende, kisonono na HIV nikakutwa na kisonono mengine niko safi, dr akanipa cipro na dox nikatumia sikupona, akaja akaniandikia ceftri sindano 1 na azithro start mi nikameza vidonge 3/3@500Mg, sikupona, nesi mmoja akanishaur nitumie cefalexin na nitrofurantoin bado tatizo liko pale pale, msaada cha kufanya ndugu zangu.
Pole ndugu
kuwa na imani
utapona
 
Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki likakarudi, nikaenda tena.hospital nikapewa metro(7/7, 10start),

Cipro start, dox7/7 tatizo likaisha na nikaacha mahusiano tangu kipindi hicho, mwezi wa 7/2016 tatizo likarudi tena dr mmoja akaniambia nimeze azithromycin 1g start nikafanya ila tatizo halikuisha, nikaenda hospital nikapima kaswende, kisonono na HIV nikakutwa na kisonono mengine niko safi, dr akanipa cipro na dox nikatumia sikupona, akaja akaniandikia ceftri sindano 1 na azithro start mi nikameza vidonge 3/3@500Mg.

Sikupona, nesi mmoja akanishaur nitumie cefalexin na nitrofurantoin bado tatizo liko pale pale.

Msaada cha kufanya ndugu zangu.
Pole sana,kisono chako inaonekana bakteria wamekuwa resistant na dawa,sasa cha kufanya nenda hospitalini wakufanyie urine culture,hapo watajua wakupe mchanganyiko wa ant biotic gani ambayo itakuwa strong kuweza kuwaua hiyo aina ya backteria watakao kuwa wamewakuta kwenye mkojo.
 
hilo linaitwa gono la Kongo linawatesa sana watu pale tunduma mkuu ilo Bila sindano ya mbwa panaduu kupona ni ngumu jitahidi kuwaeleza kiundani hiyo sindano ni kiboko unakula kwanza maana daaa acha
 
Kaugonjwa kazamani hako! kumbe bado kanawatafuna watu!!!!!
 
Ukipona ndugu uwe unatumia kinga(kondom)..Hawa dada zetu watakuja kutuua mapemaa
Yani tendo la 30min linabadilisha maisha yako completely na forever
 
Kisonono sugu kinaenea duniani kote. Actually hawa super bugs wanaibuka kila kona na wanasayansi wanakuna vichwa. Wengine wanadhani pengine ni athari za mabadiliko ya tabia nchi. Kinachofanyika kwa sasa ni kujaribu combination mbalimbali za madawa yaliyopo. Usikate tamaa na ukijua ni aina gani ya bakteria wanakusumbua combination ya madawa hayo uliyokwishajaribu yanaweza kusaidia. Good luck mkuu!
 
Nenda ukafanye kipimo cha urethral swab for culture and sensitivity ili iwezekujulikana bacteria ulionao wanatibika na dawa gani.

Kama walivyoshauri nenda kwa Dr. bingwa wa magonjwa ya ngozi. Hayo ndiyo madaktari bingwa wa magonjwa ya zinaa.

Kama dada ulivyoshauri itabidi waoteshe mkojo wako na pia watafanya swab ya usaha ili wajue dawa gani ukitumia utapona.

Lakini pia nadhani umekuwa unaenda hospitali moja tangu uanze kuumwa. Badili hospitali na Dr. pia

Inawezekana kabisa ukawa na UTI ambayo imejikita kwenye tezi dume. Kama Dr. sio makini atakuambia una kisonono.

Usione uchungu kutumia hela kwenda hospitali nzuri utibiwe.
 
Pole sana,kisono chako inaonekana bakteria wamekuwa resistant na dawa,sasa cha kufanya nenda hospitalini wakufanyie urine culture,hapo watajua wakupe mchanganyiko wa ant biotic gani ambayo itakuwa strong kuweza kuwaua hiyo aina ya backteria watakao kuwa wamewakuta kwenye mkojo.
Ntafanya hivo, thanks kwa ushauri
 
Aliyekuambukiza kisonono yeye kapona ?
Aliyeniambukiza tuliachana na sina mawasiliano naye baada tu ya.kumueleza tatizo alilo nalo na alikana hana shida hiyo sasa sijui kama alienda kujitibu au kakaa nalo
 
hilo linaitwa gono la Kongo linawatesa sana watu pale tunduma mkuu ilo Bila sindano ya mbwa panaduu kupona ni ngumu jitahidi kuwaeleza kiundani hiyo sindano ni kiboko unakula kwanza maana daaa acha
Sindano anayochomwa mbwa?, maana nao wana kisonono kibaya, si itaniuwa hiyo
 
Kama walivyoshauri nenda kwa Dr. bingwa wa magonjwa ya ngozi. Hayo ndiyo madaktari bingwa wa magonjwa ya zinaa.

Kama dada ulivyoshauri itabidi waoteshe mkojo wako na pia watafanya swab ya usaha ili wajue dawa gani ukitumia utapona.

Lakini pia nadhani umekuwa unaenda hospitali moja tangu uanze kuumwa. Badili hospitali na Dr. pia

Inawezekana kabisa ukawa na UTI ambayo imejikita kwenye tezi dume. Kama Dr. sio makini atakuambia una kisonono.

Usione uchungu kutumia hela kwenda hospitali nzuri utibiwe.
Nimeshirikisha madr sita na kila mtu amekuwa na tiba yake kulingana na historia yangu.
 
pole sana ndugu, ona umuhimu wa kwenda hospitali nzuri, kwa ugonjwa huo, usione gharama kama ni tatizo, jali afya yako.
 
Pole sana aisee!! Ila muda mwingine unaweza sema ni kisonono lakini wakawa ni fungus! Nenda pharmacy nunua fluconazole kwa siku 5 mpk 7... ni vizuri zaidi ukamuona specialist wa hayo magonjwa. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom