Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Ndugu zangu kwema,

Nilikuwa naomba msaada tafadhali, maana hili jambo linaniumiza kichwa sana leo.

Kati ya uzi hizi mbili kesho nivae ipi jamani?

images (1).jpeg
images.jpeg

Maana hapa nilipo nimepatwa na mkanganyiko sijui nivae ipi.

Naombeni msaada tafadhali.
 
Vaa mmoja kwanzia saa Moja asubuh mpk saa cta mchana,na mwingine kwanzia saa cta mpk jion ..

Imeishaa hyooo
 
Back
Top Bottom