Msaada tafadhali

Kunya hapo hatokaa mtu
 
Pole sana Kuna mti Fran ungeupata unatoa vitunda frani vidogo vidogo sisi tunaita vunja genge nin hatiri ukilipasua Hilo tunda humo ndani mtaanza kunusana mpaka kukimbiana
 
Kama ni majirani wachane tu kuwa hupendi harufu ya.sigara wasivute hapo kwako .

Kesho yake wakirudia basi waloge ndio njia nzuri ila kweli mie nakinukishaga na wazima tusizoeane ache usenge , mnavuta bangi kwani hapa bar ngoja niingie ndani nimkute mtu nje na bangi , oh natokaga na sime yakimasai au rungu
 
Nishawachana zaidi ya mara mbili na wanarudia isitoshe kuna watoto.... apa nmeona kodi yangu iishe kuondoka.... saizi kila mtu anadonoa humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…