maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
- #21
Hayo hua yanakuza moto inaeza kuacha tatizoChoma chochote cha plastic au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo hua yanakuza moto inaeza kuacha tatizoChoma chochote cha plastic au
Kunya hapo hatokaa mtuNaandika hili nikiwa na hasira sana
Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike
Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya hewa kwa muda mfupi yaani ilimradi pasikalike
Msaada tafadhali kwa anaejua moja kati ya hilo
Hiyo unayotaka kununulia harufu mbaya inatosha
ndio kwene maelezo yangu hakuna sehemu nimeomba ushauriKumbe?
🤣🤣🤣🤣 Sawasawa 🤨ndio kwene maelezo yangu hakuna sehemu nimeomba ushauri
Sawa kanunue udiHayo hua yanakuza moto inaeza kuacha tatizo
harufu ya mavi inazoeleka kwa muda mfupi nataka harufu ambayo haivumiliki ata kwa sekundeKunya hapo hatokaa mtu
sawa🤣🤣🤣🤣 Sawasawa 🤨
brother nataka harufu mbayaSawa kanunue udi
Hahaha sawabrother nataka harufu mbaya
huu kwa mazingira nliopo ni ngumu kuupata ila ipo mingi iringa gangilongaPole sana Kuna mti Fran ungeupata unatoa vitunda frani vidogo vidogo sisi tunaita vunja genge nin hatiri ukilipasua Hilo tunda humo ndani mtaanza kunusana mpaka kukimbiana
Nishawachana zaidi ya mara mbili na wanarudia isitoshe kuna watoto.... apa nmeona kodi yangu iishe kuondoka.... saizi kila mtu anadonoa humu ndaniKama ni majirani wachane tu kuwa hupendi harufu ya.sigara wasivute hapo kwako .
Kesho yake wakirudia basi waloge ndio njia nzuri ila kweli mie nakinukishaga na wazima tusizoeane ache usenge , mnavuta bangi kwani hapa bar ngoja niingie ndani nimkute mtu nje na bangi , oh natokaga na sime yakimasai au rungu
Yahhuu kwa mazingira nliopo ni ngumu kuupata ila ipo mingi iringa gangilonga
mavi kunuka hutegemea na aina ya chakula ulichokulaKuny@ m@vi mengi na mazito harufu ya m@vi utawakera sana
yale yangenifaa sana
Hapana kamanda wangu sio hivoSource EX