Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natamani sana nami nichangie kwa kutoa jibu,lakini nahisi kama sijakupata vizuri,unaweza kuiweka sawa hii.Swali langu ni kwamba,Mwanaume anaekupenda,yaan boyfnd and girlfnd,anaweza kuwa anatembea na msichana mwingine,then anakuambia?.Halafu nyie muendelee tu kuwasiliana?inawezekana kweli au ndo anakufukuza kijanja?
natamani sana nami nichangie kwa kutoa jibu,lakini nahisi kama sijakupata vizuri,unaweza kuiweka sawa hii.
nsha sepa kitambo rose,nlikuwa nauliza tu,maana yeye alikuwa anachukulia eti kawaida tu.