MSAADA TAFADHALI

MSAADA TAFADHALI

Lupalilo ngwada

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
120
Reaction score
97
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali.napatikana Njombe mjini mkoa wa Njombe.nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi vidogovidogo.biashara haikui kutokana na mtaji mdogo sana.naimani nikiwezeshwa katika Hilo.nitanyanyuka.asanteni
 
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali
Mungu asaidie ufanikiwe
 
Haya haya ngoja mm nipumzishe fuvu kesho nidamke nikaokote makopo nisitie tie huruma Kwa watu mwishowe nisimangwe nishindwe kula Bata Kwa Raha baada yakujipata kisa tu walinipa msaadaa😂😂

Nataniaa
 
Kuna siri flani pengine ungeijua ingekusaidia.
Hivi vuta picha kwamba dangote eti yuko makini anasoma huu uzi
wako👈
MUDA HANA👈
Sasa ndio hivo ujue kwamba unacho eleza hakipo hapa na hakiwezi kutokea kabisa.
 
Kuna siri flani pengine ungeijua ingekusaidia.
Hivi vuta picha kwamba dangote eti yuko makini anasoma huu uzi wako👈
Sasa ndio hivo ujue kwamba unacho eleza hakipo hapa na hakiwezi kutokea kabisaa
 
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali.napatikana Njombe mjini mkoa wa Njombe.nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi vidogovidogo.biashara haikui kutokana na mtaji mdogo sana.naimani nikiwezeshwa katika Hilo.nitanyanyuka.asanteni
Amani iwe nanyi wapendwa!
Ninaitwa .....
Ninapatikana .....
Mimi ni mmiliki wa duka/nina mpango wa kumiliki duka la .....
Nimeshafanya kwa kiasi fulani/ ndiyo ninaanza biashara, lakini changamoto yangu ni mtaji. Ninahitaji mkopo bidhaa ama mkopo wa fedha za kununulia bidhaa ili kuanzisha/kukuza biashara yangu.

Naomba kufahamishwa njia za namna nitakavyoweza kutimiza azma yangu, au kama kuna mtu anaweza kunikopesha, ninaomba anishitue ama anitumie ujumbe inbox ili tuweze kukamilisha taratibu nyingine muhimu.

Jaza na maelezo mengine ya maana hasa ambayo yataonesha utaweza kulipa mkopo bila nongwa.
Achana na mambo ya hela za watu wanazotumia kwa siku wewe unatafuta kwa mwezi, huko ni kulialia na kuonesha redflags kwamba utasumbua kulipa kwa kigezo una maisha magumu kuliko aliyekupatia mkopo.
 
Amani iwe nanyi wapendwa!
Ninaitwa .....
Ninapatikana .....
Mimi ni mmiliki wa duka/nina mpango wa kumiliki duka la .....
Nimeshafanya kwa kiasi fulani/ ndiyo ninaanza biashara, lakini changamoto yangu ni mtaji. Ninahitaji mkopo bidhaa ama mkopo wa fedha za kununulia bidhaa ili kuanzisha/kukuza biashara yangu.

Naomba kufahamishwa njia za namna nitakavyoweza kutimiza azma yangu, au kama kuna mtu anaweza kunikopesha, ninaomba anishitue ama anitumie ujumbe inbox ili tuweze kukamilisha taratibu nyingine muhimu.

Jaza na maelezo mengine ya maana hasa ambayo yanatonesha utaweza kulipa mkopo bila nongwa.
Achana na mambo ya hela za watu wanazotumia kwa siku wewe unatafuta kwa mwezi, huko ni kulialia na kuonesha redflags kwamba utasumbua kulipa kwa kigezo una maisha magumu kuliko aliyekupatia mkopo.
Nashukuru mkuu.unajua hata namba ya kuumba ujumbe nacho ni kama kipaji.naombeni mnivumilie kwa makosa hayo mkuu
 
Back
Top Bottom