Lupalilo ngwada
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 120
- 97
Wapendwa katika Bwana.amani itawale.ndugu zangu naamini katika Dunia hii hatupo sawa kabisa.na sisi sote ni waja wa mwenyezi Mungu.naamini pia Kuna watu Wana hela kiasi kwamba wao wanachotumia kwa siku Mimi nakitafita mwezi Moja.na huenda nisikipate.ndugu zangu naomba mwenye ana nafasi ya pesa anisaidie.eidha aniazime pesa niwe namrudishia kidogokidogo.au kwa mwenye mzigo wa dukani.aniazime bidhaa baada ya kuuza.namrudishia.ukiona mwanaume nimekuja hapa,namaanisha.aliye tayari au atakaeguswa aniPM tafadhali.napatikana Njombe mjini mkoa wa Njombe.nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi vidogovidogo.biashara haikui kutokana na mtaji mdogo sana.naimani nikiwezeshwa katika Hilo.nitanyanyuka.asanteni