29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI
Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi.
Upande wa pili timu inakusanya wachezaji wake kukwea pipa kwenda egypt kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya kimataifa haipewi heshima inayostahili kwenye vyombo vya habari
Ila hawa vilaza na mahayawani wako bize kwenye vimedia kila siku baada ya kushiba supu za mbwa ambazo wananunuliwa na viongozi wao wala mihogo kelele zao rais wa TFF ajiuzulu mara bodi ya ligi ivunjwe
Wako sawa kiakili hao? Kweli timu kubwa kimafanikio tanzania leo hii inalilia point 3 za mezani na kuanzisha vidrama drama tu mara CAS mara FIFA
Yaani leo hii wachezaji wa simba wanajiandaa na mechi ya CAFCL ila wenzao wa mwiko nyuma wako avic town wakijiandaa na episode mpya ya kulilia point 3 za mezani aucho na pakome 😂 yule raisi wa club ambazo hazina majina anatuonaje sisi? 😂
Nisaidieni jamani juu ya hii tafakari