Msaada tafadhari wanaojua kiingereza naomba mnitafsirie haya kuhusu huyu Balthazar ili nijifunze mwanamke ni kiumbe gani?

next time download App inaitwa chatGpt,uwe unapeleka huko unaomba itafsiri kwa lugha unayotaka
 
Pamoja na yote mlioandika, ila nahitimisha hoja kwamba;

Baada ya Mfalme Suleiman, anayemfuatia Kwa kupiga mbususu nyingi ni huyu Mwamba Balthazar Engonga

Nilidhani Mfalme Mswati ni kama alikuwa anajitahidi kumkaribia, kumbe ameachwa mbali kabisa hata na Balthazar 🙌
 
Ahasnte mkuu , kumbe duh!
 
Hu ni mtizamo wako mkuu? au ndo tafeeri ulio fanya?
 

= tafadhali.
 
Mkuu,
Kwani wewe hujahit 500+ bado?
 
Kusoma hujui Hata picha tu nayo unaona Giza??
 
Mkuu hi ana maanisha nini........marriage does not guaratee "loyalty or fidelity"
 
Kwa hili jamaa mitazamo ya wengi itabadilika na kuona dhahiri kuwa pesa sio kila kitu kwa binadamu
Angalia wanawake aliotembea nao wote hakuna hata mmoja alieomba vocha au tuma na ya kutolea, bali wote ni wazito kifedha na nguvu pia kwenye serikali yao

Mimi mhenga nalijua hili miaka na miaka
Nakumbuka kuna msichana wa geti kali na mtoto wa tajiri mkubwa alimpenda muuza mboga mboga
Baba akataka amuuwe yule muuza mchicha ila msichana akasema muuwe na mimi najiua
Ikabidi ampe sharti la kuhama nchi
 
Mkuu hi ana maanisha nini........marriage does not guaratee "loyalty or fidelity"
Ndoa haikupi uhakika wa uaminifu, maana yake ni kwamba kuoa/kuolewa hakukuhakikishii wewe/mwenza wako mtakuwa waaminifu, mmoja au wote mnaweza kuwa kwenye ndoa na msiwe waaminifu, mkawa mnachapisha nje ya ndoa.
 
Nimesha jifunza how to handle a woman........never put more trust in her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…