FighterOne JF-Expert Member Joined Oct 2, 2016 Posts 313 Reaction score 277 Dec 21, 2016 #1 Upo kazn kwako unahudumia wateja ofisini au mishemishe zako ghafula unagundua kuna mtu anakurecord kwa camera au anakupiga picha pasipo ridhaa yako na ukadhibitisha kwa ushahidi. Je hili ni kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria? Asanteni.
Upo kazn kwako unahudumia wateja ofisini au mishemishe zako ghafula unagundua kuna mtu anakurecord kwa camera au anakupiga picha pasipo ridhaa yako na ukadhibitisha kwa ushahidi. Je hili ni kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria? Asanteni.
UngaUnga JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,724 Reaction score 1,464 Dec 21, 2016 #2 Unaruhusiwa