FighterOne
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 313
- 277
Upo kazn kwako unahudumia wateja ofisini au mishemishe zako ghafula unagundua kuna mtu anakurecord kwa camera au anakupiga picha pasipo ridhaa yako na ukadhibitisha kwa ushahidi.
Je hili ni kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria? Asanteni.
Je hili ni kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria? Asanteni.