Msaada: Tafsiri ya ndoto yangu - Nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho

Hiyo ilikuwa ndoto uhalisia bali alikushindwa kwakuwa kuna nguvu ilikuwa inakulinda ilimzidi maarifa
 
Unapoota ndoto yoyote hakikisha unasali ili hiyo ndoto Mungu adili nayo.

NB: sio imani zote hufanya hivi nisemavyo.
 
Mkuu hongera,Kama hauombi basi huyo mchawi hakuwezi na atajaribu tena!!mdogo wako huyo alitakiwa akuingize hadi huko chumbani ikashjndikana ukabaki nje!!ukiendelea kufuatilia ulichopigwa nacho kifuani sio mkaa!!baada ya hilo jaribio kushindikana ameamua kukuekea kitu kwa njia ya huo mkaa!!
 
Hapa nakubaliana na wewe hasa kwenye ndoto za kujirudia rudia ni kweli kabisa.Kuna kitu unakuwa unaonyeshwa lakini jinsi unavyopuuzia ndivyo inavyojirudia mpaka ukweli utakapojionyesha wenyewe....hii imeshanitokea kabisa.
 
Ok fine ahsante sana
 
acha imani hizo mkuu,ndoa itakushinda
 
Mkuu mimi habari za ushirikina sina kabisa wala sijawahi ata kuchanjwa au kwenda kwa mganga kufanya jambo lolote lile na isitoshe huu mkwala tumepigwa wote kwa maana alisema "OLE WENU MUKASIMULIE"


Jiaandae kuwa mshirikina nambari moja kwenye familia yenu maana hata ndoto yenyewe inatafsiri hivyo
 
Ndoto huwa nazipuuza sana,japo kuna nnazozikumbuka na nyingine asbuh nikiamka sizikumbuki,usiku wa kuamkia leo nimeota naokota maembe,tena maembe dodo,moja kadir ya mda likawa linaoza nikalitupa mengine nikayafunga kwenye mfuko na linginr nikalila hukohuko shamba.Ila nachojua nna ham na embe dodo so labda nimezimiss sanaaa
 
mfate mdogo wako umuulize kwanini alitoka mle ndani anachekekelea?
 
mkuu hujaota umeona,ni mtu anayekufatilia sana ila kiuchawi humhusisha nduguyo na kabla hajafanikiwa umemgundua.sasa kakasirika anakutisha.una malaika wakali sana
 
Waneni husema usimsimulie mtu ndoto yako ya usiku...hivi aka kamsemo nilichomsikia mpoto akana maana nini?
 
Pole sana Mkuu, ngoja nikutafsirie kidogo.
-Kwanza kabisa Mkuu wewe huwa unachukuliwa usiku na unapelekwa sehemu za kichawi ila kuanza kukutumikisha moja kwa moja hapo sijajua.
- Pili, anayekupeleka huko sio mdogo wako kama wengi walivyosema. Siraha kubwa kwa uchawi ni usiri. Anayekuchezea hawezi akaleta sura yake ili umjue, ukimtambua ile nguvu yake hupungua kwa kasi sana. Kuonesha kwamba upo na mdogo wako inakuashiria kwamba ni mtu wako wa karibu kama mzazi, jirani, ndugu, jamaa n.k
-Umesema kwamba umetupiwa mikaa mitatu, baada ya kutupiwa ulipata maumivu au kujeruhika sehemu yoyote?

- Kuna mtu wako wa karibu anataka akuunganishe na Uchawi. Na hizo process zimeshaanza na hivyo ulivyotupiwa ni uchawi dhahiri, na ulipoambiwa usiseme ni kama upo ktk training ya kichawi kwamba usiwe mtoaji siri kwa yote yanayotendeka huko.
Wachawi wanapoanza kumtumikisha mtu ktk uchawi wanaanzaga na ndoto kisha ndo wanakuja kukudhihirisha moja kwa moja.


TAFSIRI YA PILI
-Tafsiri ya pili ya hii ndoto yaweza kuwa kwamba kuna sehemu mtu wako wa karibu atafanya jambo ila wewe ndo utahusishwa kama mtendaji wa hilo kosa.
Kuwa makini!
 
Hapa mkuu umeniacha mdomo wazi…!! Yani nilithi mikoba mimi…!!?? Aaaah hiko hakitawezekana kama ndio nia yao nitapamba nao ila tu nilivyopigwa mikaa sikuumia wala sikuhisi maumivu yoyote yale.

Tafsiri ya pili sijaiyelewa vizuri, je huyo mtu atafanya hiko kitu kwa njia za kichawi au?
 
Christian
actually ndoto huwa zinamaana,...kwasisi wafuasi wa Kristo tunaamini ukipata ndoto unamuomba Mungu akupe mafunuo,..exactly iko hivyo na kumuomba MUNGU Pia akufunulie maana,..maana kwahiyio ndoto uliyoipata inaaana kabisa,...kwa ushauri zaidi Kama upo serious na Mungu,..piga goti omba,..la hasha hujiamini nenda kwa kiongozi wako wa kanisa mueleze najua atakusaidia tu coz wachungaji ndio waunganishi wetu na mambo ya kiroho,....,na atakusaidia kumuomba Mungu ili ifunuliwe,..na pia inabidi uchukue hatua haraka coz kma ibilisi kapanga kuku attack ukichelewa ndo unampa mda zaidi wa kukuattack,..,..save yo life,..inaonyesha shetani anakuwinda na adui wako anaeza kuwa ni wanyumbani mwako,..bt amnot sure,...iko hivyo mkuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…