Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Natumia Linglong nyuma na chengshang mbele.
Ling long ni za 2012 nataka nizibadili na chengshang ni za 2018.
Gari ni private yenye kilo 910.
Nilisafiri na gari 700+km nataka nibadili tairi za nyuma maana zimeisha muda mrefu.
Nafikiria kuweka linglong nyuma na baadaye nitaweka mingling mbele.