Msaada: Tairi zipi ni Bora na Imara?

Msaada: Tairi zipi ni Bora na Imara?

Mzee baba chukua LingLong....hautajutia. Michelin ilikuwa zamani asaivi zinauzwa zikiwa mbichi sana. Ukitaka nalikupe number za FUNDI mtaalamu wa kuchagua tairi na atakusaidia sana. Mi nipo Dom ila yeye yupo dar

Yaani tairi ya kichina ya shiling elf 80 ufananishe na tairi ya ufaransa ya laki 4?? U can't be serious
 
Mzee baba chukua LingLong....hautajutia. Michelin ilikuwa zamani asaivi zinauzwa zikiwa mbichi sana. Ukitaka nalikupe number za FUNDI mtaalamu wa kuchagua tairi na atakusaidia sana. Mi nipo Dom ila yeye yupo dar
nilichukua Linglong kwa shingo upande lakini ni mwaka wa pili sasa hivi ziko vizuri na kila baada ya miezi mitatu au minne natembea si chini ya km 1200 ,NA ninaishi porini lami naionja week end tuu
 
nilichukua Linglong kwa shingo upande lakini ni mwaka wa pili sasa hivi ziko vizuri na kila baada ya miezi mitatu au minne natembea si chini ya km 1200 ,NA ninaishi porini lami naionja week end tuu
Msome huyo boya hapo juu...anajaribu kudandia hoja ya vitu amabavo havijui
 
Nakusaidia tu jitahid ujifunze vitu, matusi hayatakusaidia. Huwezi hata sikumoja ujafananisha linglong na michelin yaani ni sawa na kufananisha tecno na iphone
Hii ni hoja ya wanaomiliki private cars mkuu, so kaa kando
 
Mnaozitetea tyre za ling long mnapanda mti na viatu[emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Tairi nzuri ni dunlop ila unaangalia speed ya gari yako usichukue yenye speed ndogo wakati gari yako ina speed kubwa
 
sio lazima kitu cha bei kubwa kiwe na ubora unaotarajia mkuu,sometimes tunauziwa majina tu boss wangu
Unaweka tairi ya linglong aaaf bima yenyewe ndogo........mzee baba acha utani basi....ucjejikuta unamiliki funguo wa gari tu ohooo
 
LingLong Goodride ziko poa kama una average budget. BF Goodrich pia kama ni mtu wa safari ndefu plus rough road sana
 
Chukua dunlop mkuu hutojutia uamuz wako. Mi wiki iliyopita nimenunua mawili size 16 ya nissan wingroad kwa laki 3 na 60 at the wheel mikocheni na kubadirishiwa bure. Mwaka juz pia nilinunua hiyo brand kwa gar nyingine had leo iko poa kabisa pancha zimekuwa historia
 
Eti pancha imekuwa historia, ina maana misumari haiwezi kutoboa hizo tairi?
 
Back
Top Bottom