Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Bei?Kama ww ni mtu wa rough road chukua bf Goodrich, kama ni wa lami sana chukua Michelin. Nenda Superdoll pale pugu road ndio dealer mkuu kwa tz, tena wana offer ukinunua tairi nne unapata moja ya bure
Hizi Goodride zikoje watalamu? Nimeweka juzi hapa xmass moja tayari ina mistari ya kukatwa sio nzuri kabisa na je BF Goodrich wapi naweza pata size 235/17?
Dunlop pale Veta mataa size ya 31x10.50xR15 wanauza 440,000 tairi moja...kwa makadirio tu tairi dogo la Dunlop halitakua chini ya 350,000 hii ni zile za ThailandGood ride ni mchina tuu wa bei kubwa
Tairi nzuri upate za Japan na Ulaya
Kina BF Goodrich, Michelin Dunlop (isiwe ya South) Zeetex za Indonesia (wanazitumia TANESCO Dar)
Zipo hizo Kwa bei nzuri
Kama Mfuko hauruhusu kimbizana na kina Ling Long , Savero na Cheng Shen na wengine huko
Ila ukifunga hizi za Ulaya na Japan /Indonesia unakuwa na uhakika wa usalama wa Safari
Sema upo Mkoa gani uelekezwe.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
πππNakusaidia tu jitahid ujifunze vitu, matusi hayatakusaidia. Huwezi hata sikumoja ujafananisha linglong na michelin yaani ni sawa na kufananisha tecno na iphone