M Mwihadisa JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 604 Reaction score 227 Apr 6, 2015 #41 Hongereni wadau.Naon mdogo mdogo mnasonga mbele
Mr Kiroboto JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 350 Reaction score 90 Apr 7, 2015 #42 Eti wadau,lini taarifa za ushindi wa pili au walioitwa wote ni confirmed ila unasubiriwa muda kukamilimisha dk 90?
Eti wadau,lini taarifa za ushindi wa pili au walioitwa wote ni confirmed ila unasubiriwa muda kukamilimisha dk 90?
Mr Kiroboto JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 350 Reaction score 90 Apr 8, 2015 #43 Vipi wadau mliokwenda china mwaka jana mlipeleka hizo pre- admission letter wizarani au ni utaratibu mpya kwa mwaka huu?
Vipi wadau mliokwenda china mwaka jana mlipeleka hizo pre- admission letter wizarani au ni utaratibu mpya kwa mwaka huu?
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 263 Apr 9, 2015 #44 Kwa miaka iliyopita ulikuwa unapewa admission letter kutoka wizara,naona kwa mwaka huu ni utaratibu moja.
Kwa miaka iliyopita ulikuwa unapewa admission letter kutoka wizara,naona kwa mwaka huu ni utaratibu moja.
Mr Kiroboto JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 350 Reaction score 90 Apr 9, 2015 #45 Makamuzi said: Kwa miaka iliyopita ulikuwa unapewa admission letter kutoka wizara,naona kwa mwaka huu ni utaratibu moja. Click to expand... Ni pre- admission letter na sio admission letter.Tatizo muda ni mchache ndio Maana nikahitaji kufahamishwa umuhimu wake na je iwapo kama mtu hukufanikiwa ipata
Makamuzi said: Kwa miaka iliyopita ulikuwa unapewa admission letter kutoka wizara,naona kwa mwaka huu ni utaratibu moja. Click to expand... Ni pre- admission letter na sio admission letter.Tatizo muda ni mchache ndio Maana nikahitaji kufahamishwa umuhimu wake na je iwapo kama mtu hukufanikiwa ipata
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 263 Apr 9, 2015 #46 Miaka ya nyuma hiyo haikuwepo...nahisi wameanzisha system mpya.....