Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

Msaada: Tangazo la scholarship za China 2015/16 kutoka Wizara ya Elimu

Eti wadau,lini taarifa za ushindi wa pili au walioitwa wote ni confirmed ila unasubiriwa muda kukamilimisha dk 90?
 
Vipi wadau mliokwenda china mwaka jana mlipeleka hizo pre- admission letter wizarani au ni utaratibu mpya kwa mwaka huu?
 
Kwa miaka iliyopita ulikuwa unapewa admission letter kutoka wizara,naona kwa mwaka huu ni utaratibu moja.
 
Kwa miaka iliyopita ulikuwa unapewa admission letter kutoka wizara,naona kwa mwaka huu ni utaratibu moja.
Ni pre- admission letter na sio admission letter.Tatizo muda ni mchache ndio Maana nikahitaji kufahamishwa umuhimu wake na je iwapo kama mtu hukufanikiwa ipata
 
Miaka ya nyuma hiyo haikuwepo...nahisi wameanzisha system mpya.....
 
Back
Top Bottom