Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari.
Naomba mwenye Tangazo tajwa hapo juu lililotoka kwenye magazeti siku ya Jumatano(hii/wiki iliyopita sina hakika sana) atuwekee hapa kwa faida ya wengine!
Website ya wizara ipo katika matengenezo kwa hiyo ni ngumu kulipata online.
Asante
kiswahili kigumi sana. ingia tovuti ya wizara ya elimu
Wewe unadhani kila mtu yupo dar?
Tangazo lilitoka kwenye gazeti gani? Maana magazeti yote nnayo lkn hamna habari hiyo.Ni tetesi tu hiyo.
Mwananchi la tarehe 6 halina mkuu..maybe tarehe za karibia na hiiSio tetesi mkuu ni kweli tangazo lilitoka na mimi nimelishuhudia kwenye gazeti la Mwananchi la tarehe 6 Feb if am not mistaken
Mwananchi la tarehe 6 halina mkuu..maybe tarehe za karibia na hii
Lilitoka kwenye Mwananchi ya wiki iliyopita. Nililiona ila nimemisplace gazeti lenyewe.Tangazo lilitoka kwenye gazeti gani? Maana magazeti yote nnayo lkn hamna habari hiyo.Ni tetesi tu hiyo.
Tangazo linasema...Recommended candidates are required personally to conduct online applications. Utaingia kwenye links zilizopo hapo juu. Maana yake lazima uwe recommended na Wizara.Mkuu application form inapatikana vipi..ntacheki ofisi za mwananchi kama naeza pata hilo gazeti