Izo tarehe ni siku niliyoanza kuona siku zangu na mikoa niliyokuwepo.Sijakuelewa; kuwa muwazi!
Asante ndugu ubarikiweKwa namna ulivyobainisha tarehe zako za mzunguko, inaonesha mzunguko wako una siku kati ya 28 na 29.
Kawaida siku ambayo yai hupevuka na kushuka kuelekea mji wa mimba "Ovulation" ni siku ya 14 kabla ya siku ya mwisho ya mzunguko wake.
Mathalani;
mtu mwenye jumla ya siku 28, basi ovulation kwake hutokea siku ya 28 kutoa siku 14 [ 28 - 14 = 14]
mtu mwenye jumla ya siku 29, basi ovulation kwake hutokea siku ya 29 kutoa siku 14 [ 29 - 14 = 15]
mtu mwenye jumla ya siku 30, basi ovulation kwake hutokea siku ya 30 kutoa siku 14 [ 30 - 14 = 16]
nakadhalika na kadhalika....
Sasa wakati mzuri wa kufanya mapenzi kwa wale watafutao mtoto, iwe ni siku tatu kabla ya ovulation, siku ya ovulation yenyewe na siku tatu baada ya ovulation.
Sasa kwa wewe MadamG, jaribu kuchakarika kuanzia tarehe 26, 27, 28, 29, 30, 31 halafu endelea na tarehe 1,2 na 3.
Most likely, ovulation yako ikawa tarehe 29 au 30.
Ni zaidi ya kukuelewa nashukuruJaribu hii itakusaidia kwa mapenzi ya Mungu
View attachment 87510
Jaribu hii itakusaidia kwa mapenzi ya Mungu
View attachment 87510
Asante ndugu ubarikiwe
mh mbona umeongea hivyo maana mi nimemwelewa na majibu yake hayatofautiani na Watu 8 tofauti yao bubu kaanza na tarehe 1 akimaanisha siku niliyoanza kuona siku zangu bt watu 8 amechukua siku yenyewe niliyoongelea any way we ulikuwa unaonaje? msaada maana mi sijui loloteMi sijui hayo mambo kiivyo, lakini naona hii yako ni mpya, unaweza ukamfanya mtu akapata matokeo asiyotarajia kabisa, na akachanganyikiwa.
Kwani mzunguko huendana na tarehe za kwa kalenda maana apo naona 31 wakati on average wengi wako kwa 28 daysNi zaidi ya kukuelewa nashukuru
mh mbona umeongea hivyo maana mi nimemwelewa na majibu yake hayatofautiani na Watu 8 tofauti yao bubu kaanza na tarehe 1 akimaanisha siku niliyoanza kuona siku zangu bt watu 8 amechukua siku yenyewe niliyoongelea any way we ulikuwa unaonaje? msaada maana mi sijui lolote
Asante mkuu
Kwa wewe ushauri huo unakufaa. Kwa wengine wasiojua na watakaotaka kutumia huo mchoro ili kuzuia mimba wanaweza kuumbuka kwa sababu mchoro haujaweka maelezo kwenye siku za 12,13,14,na 15. Kwenye hizo siku pia ni siku ambazo kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mimba.
Sijui labda kanijibu kutokana na nilivyoandikaKwani mzunguko huendana na tarehe za kwa kalenda maana apo naona 31 wakati on average wengi wako kwa 28 days
Kwa namna ulivyobainisha tarehe zako za mzunguko, inaonesha mzunguko wako una siku kati ya 28 na 29.
Kawaida siku ambayo yai hupevuka na kushuka kuelekea mji wa mimba "Ovulation" ni siku ya 14 kabla ya siku ya mwisho ya mzunguko wake.
Mathalani;
mtu mwenye jumla ya siku 28, basi ovulation kwake hutokea siku ya 28 kutoa siku 14 [ 28 - 14 = 14]
mtu mwenye jumla ya siku 29, basi ovulation kwake hutokea siku ya 29 kutoa siku 14 [ 29 - 14 = 15]
mtu mwenye jumla ya siku 30, basi ovulation kwake hutokea siku ya 30 kutoa siku 14 [ 30 - 14 = 16]
nakadhalika na kadhalika....
Sasa wakati mzuri wa kufanya mapenzi kwa wale watafutao mtoto, iwe ni siku tatu kabla ya ovulation, siku ya ovulation yenyewe na siku tatu baada ya ovulation.
Sasa kwa wewe MadamG, jaribu kuchakarika kuanzia tarehe 26, 27, 28, 29, 30, 31 halafu endelea na tarehe 1,2 na 3.
Most likely, ovulation yako ikawa tarehe 29 au 30.
Kwani mzunguko huendana na tarehe za kwa kalenda maana apo naona 31 wakati on average wengi wako kwa 28 days
Mtani! siku 3 kabla ya ovulation ni sahihi sababu sperm ya mwaname iliyokamili inakuwa viable up to 72hrs. na yai la mwanamke linasurvive kwa18-24hrs tu, hiyo ya siku 3 baada ya ovulaion logic yake ni ipi mkuu?
Siku tatu baada ya ovulation, chance ya fertilization is approximately zero.Yai likitoka linaishi 48 hours.chance ya fertilization iko very high in the first 24 hours after ovulation, especially the fisrt 8 hours.What about sex positions ambazo zinasaidia deeper penetration for effective emission of semen?najua wanaume wengine wakati wa ejaculation wanakuja karibu na vestibule badala ya kuikaribia cervix.and How can we know that she is ovulating?