Msaada tarehe ya kupata mimba

Msaada tarehe ya kupata mimba

MadamG

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
125
Reaction score
47
nilianza kutumikia kama ifuatavyo. mwezi wa kwanza tar 18 nikiwa Iringa, Mwezi wa pili tar 15 nikiwa Tanga na mwezi huu ni tar 16 yaani leo. labda nakosea maana nimejaribu njia nilizosoma hapa lakini wapi. hapa nataka siku ya uhakika ili nikishindwa niangalie njia ya kwenda hospitali.
 
Kwa namna ulivyobainisha tarehe zako za mzunguko, inaonesha mzunguko wako una siku kati ya 28 na 29.

Kawaida siku ambayo yai hupevuka na kushuka kuelekea mji wa mimba "Ovulation" ni siku ya 14 kabla ya siku ya mwisho ya mzunguko wake.

Mathalani;
mtu mwenye jumla ya siku 28, basi ovulation kwake hutokea siku ya 28 kutoa siku 14 [ 28 - 14 = 14]
mtu mwenye jumla ya siku 29, basi ovulation kwake hutokea siku ya 29 kutoa siku 14 [ 29 - 14 = 15]
mtu mwenye jumla ya siku 30, basi ovulation kwake hutokea siku ya 30 kutoa siku 14 [ 30 - 14 = 16]

nakadhalika na kadhalika....

Sasa wakati mzuri wa kufanya mapenzi kwa wale watafutao mtoto, iwe ni siku tatu kabla ya ovulation, siku ya ovulation yenyewe na siku tatu baada ya ovulation.

Sasa kwa wewe MadamG, jaribu kuchakarika kuanzia tarehe 26, 27, 28, 29, 30, 31 halafu endelea na tarehe 1,2 na 3.
Most likely, ovulation yako ikawa tarehe 29 au 30.
 
Last edited by a moderator:
Jaribu hii itakusaidia kwa mapenzi ya Mungu

Mtoto.JPG
 
Asante ndugu ubarikiwe
 
Mi sijui hayo mambo kiivyo, lakini naona hii yako ni mpya, unaweza ukamfanya mtu akapata matokeo asiyotarajia kabisa, na akachanganyikiwa.
mh mbona umeongea hivyo maana mi nimemwelewa na majibu yake hayatofautiani na Watu 8 tofauti yao bubu kaanza na tarehe 1 akimaanisha siku niliyoanza kuona siku zangu bt watu 8 amechukua siku yenyewe niliyoongelea any way we ulikuwa unaonaje? msaada maana mi sijui lolote
 
attachment.php

Kwa wewe ushauri huo unakufaa. Kwa wengine wasiojua na watakaotaka kutumia huo mchoro ili kuzuia mimba wanaweza kuumbuka kwa sababu mchoro haujaweka maelezo kwenye siku za 12,13,14,na 15. Kwenye hizo siku pia ni siku ambazo kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mimba.
 
Asante mkuu
 
siku tatu baada ya ovulation.

[MENTION=122688]MadamG[/MENTION[/QUOTE]
Mtani! siku 3 kabla ya ovulation ni sahihi sababu sperm ya mwaname iliyokamili inakuwa viable up to 72hrs. na yai la mwanamke linasurvive kwa18-24hrs tu, hiyo ya siku 3 baada ya ovulaion logic yake ni ipi mkuu?
 
Siku tatu baada ya ovulation, chance ya fertilization is approximately zero.Yai likitoka linaishi 48 hours.chance ya fertilization iko very high in the first 24 hours after ovulation, especially the fisrt 8 hours.What about sex positions ambazo zinasaidia deeper penetration for effective emission of semen?najua wanaume wengine wakati wa ejaculation wanakuja karibu na vestibule badala ya kuikaribia cervix.and How can we know that she is ovulating?
Kwa namna ulivyobainisha tarehe zako za mzunguko, inaonesha mzunguko wako una siku kati ya 28 na 29.

Kawaida siku ambayo yai hupevuka na kushuka kuelekea mji wa mimba "Ovulation" ni siku ya 14 kabla ya siku ya mwisho ya mzunguko wake.

Mathalani;
mtu mwenye jumla ya siku 28, basi ovulation kwake hutokea siku ya 28 kutoa siku 14 [ 28 - 14 = 14]
mtu mwenye jumla ya siku 29, basi ovulation kwake hutokea siku ya 29 kutoa siku 14 [ 29 - 14 = 15]
mtu mwenye jumla ya siku 30, basi ovulation kwake hutokea siku ya 30 kutoa siku 14 [ 30 - 14 = 16]

nakadhalika na kadhalika....

Sasa wakati mzuri wa kufanya mapenzi kwa wale watafutao mtoto, iwe ni siku tatu kabla ya ovulation, siku ya ovulation yenyewe na siku tatu baada ya ovulation.

Sasa kwa wewe MadamG, jaribu kuchakarika kuanzia tarehe 26, 27, 28, 29, 30, 31 halafu endelea na tarehe 1,2 na 3.
Most likely, ovulation yako ikawa tarehe 29 au 30.
 
Siku 28 ni wastani tu, but normal menstrual cycle ni kati ya 21-35 days.ni wachache sana wenye exactly 28 days.kwa hiyo kama mzunguko unaangukia ndani ya interval hii maana yake uko kawaida.na ukipata moliminal symptoms (dalili kama kuumwa matiti katikati ya mzunguko), ni dalili kwamba ovulation inatokea.Kuona damu sio kigezo cha kusema kwamba unapata ovulation.Kuna wengine wanapata hedhi lakini ovulation haitokei.
Kwani mzunguko huendana na tarehe za kwa kalenda maana apo naona 31 wakati on average wengi wako kwa 28 days
 
Mtani! siku 3 kabla ya ovulation ni sahihi sababu sperm ya mwaname iliyokamili inakuwa viable up to 72hrs. na yai la mwanamke linasurvive kwa18-24hrs tu, hiyo ya siku 3 baada ya ovulaion logic yake ni ipi mkuu?

Ukiangalia vizuri siku zote za mzunguko za huyu dada, utagundua ni kati ya 28 au 29.
Sasa hata Ovulation yake inaweza kusogea au kupungua kwa siku moja.
Nilimtajia siku 3 kulingana na mabadiliko hayo ya Oval Circle yake.
 
Siku tatu baada ya ovulation, chance ya fertilization is approximately zero.Yai likitoka linaishi 48 hours.chance ya fertilization iko very high in the first 24 hours after ovulation, especially the fisrt 8 hours.What about sex positions ambazo zinasaidia deeper penetration for effective emission of semen?najua wanaume wengine wakati wa ejaculation wanakuja karibu na vestibule badala ya kuikaribia cervix.and How can we know that she is ovulating?

Ni kweli mkuu, na ndio maana sentensi yangu ya mwisho nilijaribu kumuainishia tarehe ambazo inabidi akazane maana ndio most likely akawa kwenye Ovulation kulingana na Oval Circle yake, hiyo siku ya 3 baada ya Ovulation ni kuongeza chances tu.
 
Back
Top Bottom