KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Nina mpenzi wangu hii ni siku ya saba bleed haijaacha, na tumbo linamuuma sana likiambatana na homa mpaka namuonea huruma kuna dawa niliulizia nikampa ila haikuleta mafanikio yoyote yale msaada wenu wajuzi Daktari wa wanawake hawapatikani mida ya jioni.