Msaada : Tatizo la kutokuacha kutokwa na damu ya hedhi

Msaada : Tatizo la kutokuacha kutokwa na damu ya hedhi

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,816
Nina mpenzi wangu hii ni siku ya saba bleed haijaacha, na tumbo linamuuma sana likiambatana na homa mpaka namuonea huruma kuna dawa niliulizia nikampa ila haikuleta mafanikio yoyote yale msaada wenu wajuzi Daktari wa wanawake hawapatikani mida ya jioni.
 
Nina mpenzi wangu hii ni siku ya saba bleed haijaacha, na tumbo linamuuma sana likiambatana na homa mpaka namuonea huruma
Kuna dawa niliulizia nikampa ila haikuleta mafanikio yoyote yale msaada wenu wajuzi
Daktari wa wanawake hawapatikani mida ya jioni
Sijui kwanini hujampeleka hospitali mpaka sasa.

Jaribu kuhakikisha joto la mwili (homa) iko chini kwa kumpa dawa za kushusha homa, wakati ukisubiria kukuche umpeleke hospitali.

Inawezekana alikuwa mjamzito sasa imeharibika na hakujua hilo muhimu umepeleke kwa wataalamu.
 
Sijui kwanini hujampeleka hospitali mpaka sasa.

Jaribu kuhakikisha joto la mwili (homa) iko chini kwa kumpa dawa za kushusha homa, wakati ukisubiria kukuche umpeleke hospitali.

Inawezekana alikuwa mjamzito sasa imeharibika na hakujua hilo.

Muhimu umepeleke kwa wataalam.
Kinachomsumbua sana ni tumbo mkuu
 
Kinachomsumbua sana ni tumbo mkuu
Huwezi kupata majibu hapa bila vipimo huu muda uko unaulizia hapa ungejitahidi kutafuta hospitali, sababu anapoteza damu na hatuna uhakika ni damu ya period au ana internal bleeding.
 
Wengine unakuta wamejieka yale madude ya kuzuia mimba
 
Nina mpenzi wangu hii ni siku ya saba bleed haijaacha, na tumbo linamuuma sana likiambatana na homa mpaka namuonea huruma
Kuna dawa niliulizia nikampa ila haikuleta mafanikio yoyote yale
Msaada wenu wajuzi
Daktari wa wanawake hawapatikani mida ya jioni
Mwambie abuye jivu ama achukue jivu kijiko kimoja akoroge kwenye maji anywe
 
Back
Top Bottom