Msaada tatizo la kutokuona kila ifikapo jioni

Msaada tatizo la kutokuona kila ifikapo jioni

Nimebakiza Muhimbili na Regency tu + ugumu wa maisha ndo nadata ndani ana vidonge mpaka namuonea huruma huyu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke CCBRT,huenda ana rod dystrophy ambayo hupelekea rods(husaidia kuona gizani) kuisha hivyo mtu kutoona vzuri usiku.
Lkn pia kama night blindness inayosababishwa na ukosefu wa vitamin A mtapata majibu.
Kila la heri.
 
Asante kwa advice mwanzoni mwa mwezi Octoba Mungu akijalia ntampeleka ili kupata ufumbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAROTI KAROTI KAROTI KAROTI................. ATAFUNE MBICHI NA KWENYE MBOGA ZIWE NYINGI
 
nightblindess common in albinos and wale wasiopata vitamin a ya kutosha

Sent from My BlackBerry Passport
 
Dawa ni ndogo sana ,

Ale karoti kutwa mara tatu kwa muda usiopungua siku tano,

Kipindi tukiwa shule utaratibu huu ulikuwa ukiponya watu wengi wenye hilo tatizo

_ where ever you are remember me_
 
Back
Top Bottom