- Thread starter
- #21
Daah kwa hosptal Peramiho, Mbeya,Lindi na Mtwara nimemaliza anapewaga vidnge tu imebaki Muhimbili navuta pumzi aiseePoleni sana. Hiyo kwa hospital nyingi wanatibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kwa hosptal Peramiho, Mbeya,Lindi na Mtwara nimemaliza anapewaga vidnge tu imebaki Muhimbili navuta pumzi aiseePoleni sana. Hiyo kwa hospital nyingi wanatibu
Daah kwa hosptal Peramiho, Mbeya,Lindi na Mtwara nimemaliza anapewaga vidnge tu imebaki Muhimbili navuta pumzi aiseePoleni sana. Hiyo kwa hospital nyingi wanatibu
Daah kwa hosptal Peramiho, Mbeya,Lindi na Mtwara nimemaliza anapewaga vidnge tu imebaki Muhimbili navuta pumzi aiseePoleni sana. Hiyo kwa hospital nyingi wanatibu
Jitahidi kupata balanced diet na maji ya kutosha, matunda kama chungwa, karoti na mboga za majaniThnx nilimpeleka wakadai aanze doz kabla ya miwani lakin doz haijasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuanzishia jana hili zoezi kadri cku zinavyokwenda ntaleta mrejeshoJitahidi kupata balanced diet na maji ya kutosha, matunda kama chungwa, karoti na mboga za majani
Mpeleke CCBRT,huenda ana rod dystrophy ambayo hupelekea rods(husaidia kuona gizani) kuisha hivyo mtu kutoona vzuri usiku.Nimebakiza Muhimbili na Regency tu + ugumu wa maisha ndo nadata ndani ana vidonge mpaka namuonea huruma huyu dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa yanawasha?na macho kutoa kuwa mekundu na kutoa machozi nini dawa yake?
Asante kwa advice mwanzoni mwa mwezi Octoba Mungu akijalia ntampeleka ili kupata ufumbuziMpeleke CCBRT,huenda ana rod dystrophy ambayo hupelekea rods(husaidia kuona gizani) kuisha hivyo mtu kutoona vzuri usiku.
Lkn pia kama night blindness inayosababishwa na ukosefu wa vitamin A mtapata majibu.
Kila la heri.
ndiyo yawasha uwasho mtamu mtamu nikilikunaHuwa yanawasha?
Hyo ni allergic conjuctivis, mwone mtaalamu wa macho upate dawa.ndiyo yawasha uwasho mtamu mtamu nikilikuna