Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

hmaloh

Senior Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
162
Reaction score
314
Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.

Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.🙏🙏🙏
 
Aloo wahi kituo cha afya fasta Itakuwa amoeba au amejichuna wakati wa kutoa haja kubwa anal fissure vipi anapata maumivu wakati wa kujisaidia kama ni ndio ni anal fissure kama hapati basi ni amoeba hiyo wahi kituo cha afya hata Mimi niliwahi kuhara damu sababu ya amoeba Cc ephen_
 
Vipi anapata maumivu na ilianza kama muwasho sehemu ya haja kubwa?

Kama jibu ni ndiyo, inaweza ikawa ni Hemorrhoids(bawasiri).

Mshauri awahi hospitali ili kutibia maana akichelewa atalazimika kufanyiwa upasuaji ili kumaliza tatizo.
Anapata maumivu tu baada yakumaliza kujisaidia kwa muwasho hapana hasikii
 
Ni anal fissure hiyo mwambie ameze dawa hizi bisacodyl mg 5 viwili wiki mbili mfululizi Kila siku usiku na awe anakunywa maji mengi na aununue deto ya maji aloweke makalio kwenye maji ya uvugu vugu ili kidonda kipone Cc ephen_
Huko kuloweka makalio nikwamuda gani mkuu namaanisha kutwa mara ngapi na kwasiku ngapi?
 
Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.🙏🙏🙏
Umeshaenda kumwona daktari?
 
Back
Top Bottom