Anapata maumivu tu baada yakumaliza kujisaidia kwa muwasho hapana hasikiiVipi anapata maumivu na ilianza kama muwasho sehemu ya haja kubwa?
Kama jibu ni ndiyo, inaweza ikawa ni Hemorrhoids(bawasiri).
Mshauri awahi hospitali ili kutibia maana akichelewa atalazimika kufanyiwa upasuaji ili kumaliza tatizo.
Ni anal fissure hiyo mwambie ameze dawa hizi bisacodyl mg 5 viwili wiki mbili mfululizi Kila siku usiku na awe anakunywa maji mengi na aununue deto ya maji aloweke makalio kwenye maji ya uvugu vugu ili kidonda kipone Cc ephen_Anapata maumivu tu baada yakumaliza kujisaidia kwa muwasho hapana hasikii
Maanake?Hematemesis aende hospital
Usicheke jamaa kapata choo kigumu kimechuna rectum aisee inabidi aloweke makalio na deto siku mbili tu anapona inabidi aanze kula Dona na matunda matundaMbavu zangu mieπ
Huko kuloweka makalio nikwamuda gani mkuu namaanisha kutwa mara ngapi na kwasiku ngapi?Ni anal fissure hiyo mwambie ameze dawa hizi bisacodyl mg 5 viwili wiki mbili mfululizi Kila siku usiku na awe anakunywa maji mengi na aununue deto ya maji aloweke makalio kwenye maji ya uvugu vugu ili kidonda kipone Cc ephen_
Umeshaenda kumwona daktari?Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.πππ
Vin ma frend, kuloweka makalio ndo ipi?Ni anal fissure hiyo mwambie ameze dawa hizi bisacodyl mg 5 viwili wiki mbili mfululizi Kila siku usiku na awe anakunywa maji mengi na aununue deto ya maji aloweke makalio kwenye maji ya uvugu vugu ili kidonda kipone Cc ephen_
Kwahyo unataka ukamloweke kweli makalio mwezio baada umpeleke hospitalHuko kuloweka makalio nikwamuda gani mkuu namaanisha kutwa mara ngapi na kwasiku ngapi?
Halafu anamwambia mwanaumeπVin ma frend, kuloweka makalio ndo ipi?