Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Thanks guys nashukuru kwa michango yenu ya ushauri jamaa yangu alipata solution na hivi sasa yupo fresh kabisa
 
Usicheke jamaa kapata choo kigumu kimechuna rectum aisee inabidi aloweke makalio na deto siku mbili tu anapona inabidi aanze kula Dona na matunda matunda
Huko kuloweka inabidi umwambie ahakikishe maji yanapenya kwny mlango wa choo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…