Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Mkuu Unahabari Kwamba Kuna Baadhi Ya Magonjea Yanaweza Kuinduce Constipation??
Yaani Hysteria Constipation??

Kwa mfano mtu ana Anal Fissure au Anapata Maumivu makali wakati wa Haja huoni kama Lazma Constipation itakuja Automatically hata kama anafata sheria zote?

Kwasababu anaweza Kupata Feacal Impaction na Hata Feacal retention kwa Hofu ya Kuumia aendapo Haja??
sio kwa kila mtu na ni marachache , hem naomba aseme baada ya huyo mgonjwa kwenda kufanya vipimo wamemwambia anashida gani hmaloh
 
Na vp kama kwa sasa hana constipation hiyo basocodyl itamsaidia?
Bisacodyl ni moja ya dawa inayotibu constipation,kama tatizo la constipation limeisha na bado anaendelea kupata choo chenye damu,aende hospitali kwaajili ya hatua za ziada.
 
Bora ww ni pediatrician mm ni mwananchi wa kawaida tu
Medicine its not for Everybody!
Huwezi kuwa mwananchi wa Kawaida bado ukajua kuchambua Magonjwa Kitu ambacho hata Baadhi ya Nurses na Other Meds Personell huwa ni Ngumu..
 
Bisacodyl ni moja ya dawa inayotibu constipation,kama tatizo la constipation limeisha na bado anaendelea kupata choo chenye damu,aende hospitali kwaajili ya hatua za ziada.
Ndo maana ushauri mkubwa ni aende hospital maana anasema choo sometimes ni kilain ila bado damu inatoka
 
Hamna nadhani jamaa kamaanisha akae kwenye beseni ili detol ambayo ni dawa,iweze kufikia jeraha,na hivyo aweze kupona,nadhani umemuelewa tofauti.Mitandao ina faida kubwa,ukitaka kujifunza.
bora ata maana kunavichwa um daaah. long live our english debating club kibao kwa kichwa
 
sasa mbona mnachafua thread ya watu c muende huko nilipoanzisha thread mkaone error nyingine nyingi t hapa mbona kidogo
Hapana Mkuu kama Unafahamu Hippocroatic Oath..
Ilibidi Kurekebisha Mambo ili Mgonjwa Apate Mwanga wa nini cha Kufanya..

na lengo Lilikuwa Ni Kuweka sawa Baadhi ya mambo na nina imani Mtoa Mada amepata Kitu na cha msingi Zaidi ataenda Hospitali ili akapatiwe Matibabu husika..
 
nilitaka tu akapime ili majibu apate kwanza kutoka kwenye vipimo, ndio tuanzekuongea afanye kwenye tatizo linalojulikana, hata kwaelimu tu siombaya kwa maelezo na kutokua suprised na majibu.

na pia kuna watu wanao taka majibu straight kwamba nn shda na matibabu yake yakoje hasa kwa shida ambayo imemsumbua mda mref sas czan kama kumrundikia vitu vingi vya kwenye vitabu ambavyo hatujawahi ugua ni vizuri.

apate vipimo vyote ijulikane shda nin maana inawezekana hajaenda kupima pia kuelezea kua " ..Dr mk--d unavuja damu mda natoa m--v kaz ...." kaz kwel kwaio akitoa hivyo vi aibu akaelezea kwa dactari alie karb na yeye checkup ikafanyika. wala acngekua anatumia rafkiake kuulizia JF shida kama hio.

ahsant Dr... pia naendelea kujifunza kila ck
 
Mjadala mzuri sana aisee,,,nimependa zaidi mabishano ya hapa na pale ambayo yanafundisha na burudani pia

Huwa napenda sana kufuatilia ligi za mabishano ambayo hayana matusi

Kwa namna ambavyo nimeona mjadala wenu kwenda hospital ni muhimu zaidi,,kwasababu uzoefu wa mgonjwa mmoja sio lazima uwe sawa na mgonjwa mwengine
 
Asante sana wote wangekuwa na uelewa kama ww hii Dunia huenda ingekuwa mahali pazur sana pa kuishi milele
Tukiachana na madaktar wa google afya zetu zitaimarika
 
Back
Top Bottom