Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.

Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.🙏🙏🙏
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha hii hali. Hapa ni vigumu kabisa kujua tatizo ni nini. Atalazimka kwenda hospital na kufanyiwa vipimo ili kujua.
 
Yeah inawezekana lakn kumbka alisema sometimes hapati maumivu wakati wa kujisaidia inakuwa vigum ku relay na hiyo diagnosis
Yeah ni Kweli ila Moja ya Symp.. Ya Chronic Anal fissure ni Kuwashwa kwenye Haja kubwa..

Ila kuna Post Moja hapo.Juu ameelezea Akiwa anatoa haja kubwa anapata maumivu hata kukaa anashindwa thats Cyclone pain..

Unajua Cyclone pain inaweza Kutupa DDx zipi kwa mtu mwenye Damu kwenye haja kubwa??

Kingine huo mzunguko wa Maumivu Muwasho maumivu Ni hatari sna..

Labda tuulize Risk factors Maybe zitatupeleka Kwenye Hizo dx na Ku R/O zingine..

Lengo ni kumsaidia Ndugu yetu awe sawa..
 
then ahangaike na hio constipation hayo mengine yataisha kama source ikitibika. deal done case closed
Samahani kidogo nimesahau Hivi huwa tunaanza Kutibu Complication Ndo tunakuja Causative au tunaanza Causative Tunafuata Complication...

Mimi nimesoma Zamani Mnisaidie..
 
Nilisema kuwa Kama unajijua huna akili timamu usiquote hoja zangu.
Ngoja mtu ambae hana akiki akupe shule sasa
Anal fissure results from cracking of anal membranes (kama ulikuwa hujui)
Mostly anal fissure is caused by hard stool, tightening or spasms of anal sphincter
Tunakuja kwenye distinctive feature of anal fissure
Painful egestion
Bleeding during egestion -hapo ndo pa kuwa makini sana maana damu itakuwa light red halafu inakuwa inatokea hadi mwisho akimaliza kujisaidia kama atatumia tissue kujisafisha dam itaonekana kwenye tissue
Hizi hasa ndo zinakuwa most distinctive feature zake pamoja na nyingine zinazosuppot ila kama mgonjwa hana hizi huwezi kusema ana anal fissure
 
Ilianza constipation kwa mujibu wa maelezo yake
aongeze vyakula vyenye nyuzi nyuzi, kunywa maji mengi kwa siku na apunguze ulaji wa vyakula vyenye mafuta na sukari nyingi hadi apo constipation itakua imeisha baada ya mda
Samahani kidogo nimesahau Hivi huwa tunaanza Kutibu Complication Ndo tunakuja Causative au tunaanza Causative Tunafuata Complication...

Mimi nimesoma Zamani Mnisaidie..
mi naona causative ya constipation hua ni maisha yetu wenyewe ya hovyo na ndio tiba pia kuyaboresha
 
Inategemea na clinical prentation ya mgonjwa yaani mtu ana hypotension due to anaphylactic shock ww unaanza kutafuta antihistamine kabla ya noradrenaline maana ake utakuta mtu ashafariki so cha msingi ni ku stabilize mgonjwa wakati unatafuta au unatibu tatizo
 
Kama hujapata hili tatizo huwezi elewe stress zake.

Chukua hii kutoka kwangu maana na mimi nilipataga shida hiyo na niliweza kuchomoka

Kwa jinsi ulivyoelezea inaonyesha dhahiri huyo ana tatizo la constipation ambayo ilipelekea kuwa na anal fissues ambayo hupelekeaa anakuwa na blood spots kwenye choo chake..Hzo damu hutokana na eneo la haja kubwa kuwa kavu so anapopitisha choo kigumu huwa kama kuna chanika na kuacha tear ambayo humpa maumivu.

Before hajaanz kujitibu ni lazima ajue nini kilimfanya mpka kuwa na hicho choo kigumu.Binafsi nilipopatwa na hiyo kadhia nilibaini mambo matatu. Kwanza nilikuw sinywi maji mengi ukizingatia naishi sehemu za joto. Cha pili nilichobaini ni kuwa ninapokunywa chai ya maziwa au maziwa kw ujumla inanifanya kuwa na chok kigumu. Cha tatu na cha mwisho kuna dawa za maumivu ambazo nikitumia pia hunipa choo kigumu..remember ilinichukua muda mpk kubaini hivi vitu.

So nilijitibuje..

Nikiri nilitumia dawa nyingi za hovyo ambazo hazikunipa manufaa..Nashkuru nilienda Phamacy moja hv bahati nzuri nilimkuta mshikaj na aka recommend nitumie hz dawa.

1. CASTOR OIL. Hii utakunywa asubh n jion. Kijiko kimoja tu. Ni dawa flan hv inakereketa kwnye mdomo so unawez tanguliza kiasali kidg kwnye kijiko then ukaiweka kw juu ukanywa.

2. ENEMAX. Ni maji flan hivi utakuwa unaweka huko chini. Kila baada ya kujisaidia haja kubwa

3. Mupirocin Ointment. Kama una tear kwnye anus ambayo inakuachia maumivu utatumia hii utapaka hyo sehemu ya tear then hyo tear itafunga

Nilifanya hivi nikapona within a weak

Kingine kula sana matunda..Punguza vyakula vya wanga..Na kunywa sana maji mengi ata least lita 3 kila siku.
 
Ngoja mtu ambae hana akiki akupe shule sasa
Anal fissure results from cracking of anal membranes (kama ulikuwa hujui)
Mostly anal fissure is caused by hard stool, tightening or spasms of anal sphincter
Tunakuja kwenye distinctive feature of anal fissure
Painful egestion
Bleeding during egestion -hapo ndo pa kuwa makini sana maana damu itakuwa light red halafu inakuwa inatokea hadi mwisho akimaliza kujisaidia kama atatumia tissue kujisafisha dam itaonekana kwenye tissue
Hizi hasa ndo zinakuwa most distinctive feature zake pamoja na nyingine zinazosuppot ila kama mgonjwa hana hizi huwezi kusema ana anal fissure
Ongeza na hizi..
  • Maumivu yanakuwa Sharp sana..Maana kuna tifauti ya Maumivu ya Haemmorrhoids na Anal fissure..
  • kuhisi Kuchoma choma kama Moto au Muwasho kipindi cha Kutoa haja
  • Kwenye Damu inaweza ikawa Bright au Ikawa fresh
 
Tupe distinctive feature of anal fissure mzee
Mm sijapinga potential diagnosis ila nilichokataa ni kufanya conclusion hapo unampoteza mgonjwa
Nilishatoa
Ngoja mtu ambae hana akiki akupe shule sasa
Anal fissure results from cracking of anal membranes (kama ulikuwa hujui)
Mostly anal fissure is caused by hard stool, tightening or spasms of anal sphincter
Tunakuja kwenye distinctive feature of anal fissure
Painful egestion
Bleeding during egestion -hapo ndo pa kuwa makini sana maana damu itakuwa light red halafu inakuwa inatokea hadi mwisho akimaliza kujisaidia kama atatumia tissue kujisafisha dam itaonekana kwenye tissue
Hizi hasa ndo zinakuwa most distinctive feature zake pamoja na nyingine zinazosuppot ila kama mgonjwa hana hizi huwezi kusema ana anal fissure
Mkuu mbona nilishaeleza Toka huko juu au soma 👇
 
Inategemea na clinical prentation ya mgonjwa yaani mtu ana hypotension due to anaphylactic shock ww unaanza kutafuta antihistamine kabla ya noradrenaline maana ake utakuta mtu ashafariki so cha msingi ni ku stabilize mgonjwa wakati unatafuta au unatibu tatizo
Hili Jibu ndo nilikuwa nalitaka Ili mwenzetu hapo juu akumbuke kitu..
 
Yeah ni Kweli ila Moja ya Symp.. Ya Chronic Anal fissure ni Kuwashwa kwenye Haja kubwa..

Ila kuna Post Moja hapo.Juu ameelezea Akiwa anatoa haja kubwa anapata maumivu hata kukaa anashindwa thats Cyclone pain..

Unajua Cyclone pain inaweza Kutupa DDx zipi kwa mtu mwenye Damu kwenye haja kubwa??

Kingine huo mzunguko wa Maumivu Muwasho maumivu Ni hatari sna..

Labda tuulize Risk factors Maybe zitatupeleka Kwenye Hizo dx na Ku R/O zingine..

Lengo ni kumsaidia Ndugu yetu awe sawa..
Vema sana mtaalam ndo maana mm nikapendekeza anal fissure iwe kama differential diagnosis hadi pale itakapokuwa imethibitishwa au imepatikana diagnosis nyingine
 
mi naona causative ya constipation hua ni maisha yetu wenyewe ya hovyo na ndio tiba pia kuyaboresha
Kuna Mahala Amesema Kuwa Choo kwa sasa Kipo vizuri Ila bado anapata The same symptoms..
So nafikiri tyari kashapata Complication ambayo imesababisha Condition aliyonayo
 
Back
Top Bottom