Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Sasa hapo shida inakuja mtu hajatoa details za kutosha halafu mtu anakuja ame confirm diagnosis moja kwa moja na anamuandikia dawa kabisa 😂
Hawaulizi hata swali la nyongeza 😂
Mkuu nitakutafutia dawa zako za kumeza umeanza kuonesha chuki
 
Kwa maelezo ya muhusika anasema damu inatoka ya kawaida (nyekundu) na choo iwe kigumu ama kilaini shida Iko palepale na baada ya kujisaidia maumivu yanaanza papo hapo hata kukaa inakuwa shida baada ya muda kupita hali inatulia ila ndio hivyo tena boksa inakuwa imechafuka mno kama Binti aliyeingia period (hedhi)
Duh Hatari sana Hii!😳😳
Na Mmerelax Nyumbani?
Fanya haraka Ikiwezekana Mshauri au Mpeleke Hospitali akachunguzwe Pamoja na Kutibiwa ni Htari sana..

Hiyo haiwezi kuwa Amoeba Moja kwa moja ila Inaweza kuwa Maradhi mengine Ikiwemo Bawasiri au Saratani ya Colon au Uvimbe (Polyp),au Anal Fissure ...

Duh wahi sana Hospitali maana kadri unavyodelay Tatizo linazidi Kuongezeka..
Usichukulie Utani, Mkuu!
 
Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.

Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.🙏🙏🙏
amoeba nimeugua pia na ilikua critical na typhoid hukohuko hamna dalili hizo, mwambie aongee dalili zingine atasaidika
 
Duh Hatari sana Hii!😳😳
Na Mmerelax Nyumbani?
Fanya haraka Ikiwezekana Mshauri au Mpeleke Hospitali akachunguzwe Pamoja na Kutibiwa ni Htari sana..

Hiyo haiwezi kuwa Amoeba Moja kwa moja ila Inaweza kuwa Maradhi mengine Ikiwemo Bawasiri au Saratani ya Colon au Uvimbe (Polyp),au Anal Fissure ...

Duh wahi sana Hospitali maana kadri unavyodelay Tatizo linazidi Kuongezeka..
Usichukulie Utani, Mkuu!
Hapo kwenye anal fissure naunga mkono hoja japo Kuna Schizophrenia mmoja anabisha hapa
 
Tupe distinctive feature of anal fissure mzee
Mm sijapinga potential diagnosis ila nilichokataa ni kufanya conclusion hapo unampoteza mgonjwa
Nilisema kuwa Kama unajijua huna akili timamu usiquote hoja zangu.
 
Back
Top Bottom