Msaada: Tatizo la kutosikia vizuri

Msaada: Tatizo la kutosikia vizuri

Ni kweli, lakini naomba tuelewe kwamba tiba ya mgonjwa yeyote:

1: Ni kukutana na mhudumu wa tatizo husika.

2: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa wa tatizo husika.

3: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa na shida husika na vitendea kazi.

4: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa husika, mwenye vitendea kazi na teknolojia husika.

5: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa wa tatizo, mwenye vifaa husika, mwenye teknolojia husika, yuko motivated na hofu ya muumba.

NB: Hospitali siyo jengo wala jina la hospitali bali hayo hapo juu (mtu uliyekutana naye na alivyowezeshwa).

Watu wengi tunawapoteza au kubaki walemavu kwa kukosa mambo hayo hapo juu.
Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.
Nlinunua but bila mafanikio.
Baadae nlienda TMJ na kukutana na daktari mwingine wa masikio ambaye alinpa dawa za kumeza.nlimeza km miezi mitatu baadae akasema ninunue mashine,
Nkaona ngoja niende mhimbili nkawaeleza everything wakasema kama zile mashine za laki nane zimefeli, itakuwa settings nkaandikiwa niende kwajili ya settings ambapo tuliset ikagoma, wakasema niupgrade mashine ntafute za 1.2M kila moja.
Nlinunua moja sikuwa na pesa but nayo haikuonesha matumaini.

Final nkakutana na wengi ambao wanatatizo kama langu, wengine walitumia mashine bila mafanikio.
Nkaamua kulikubali tu hili tatizo.

Lilinipa stress sana,japo sahivi zimeoungua kigogo
 
Daah!.. Mpe pole sana huyo dada.. Mimi nimehangaika kutibu masikio kwa miaka miwili mfululizo hapo muhimbili.. Nashukuru Mungu nipo sawa sasa.. Kiufupi ukiziwi unasababishwa na sababu tofauti kwa kila mtu Kama kuzidisha dozi ya dawa mfano quinine name nyinginezo. Lakini pia kukaa sehemu yenye makelele kwa muda mrefu na hivyo kusababisha masikio yashindwe kuhimili kama alivyosema mdau hapo juice.. Huyu mgongwa aende mhimbili (isiwe sehemu nyigine) kwa kuwa ni madaktari wachache wanaoweza kuhandle issue ya masikio.. Hapo atakutana na daktari bingwa atampima kwa vifaa maalum ili kujua level ya kutosikia kwake.. Then atapewa dawa ambazo atatumia kwa muda mrefu (Mimi nilitumia miaka miwili) ambapo unamrza dawa kila siku kwa miezi mitatu then anasitisha kwa miezi mitatu, ikitimia miezi sita (baada ya mapumziko ya kutotumia dawa kwa miezi mitatu) atarudi tena kwa daktari wake na kupimwa usikivu tena na kuandikiwa dawa nyingine kwa miezi mitatu au zaidi. Kwa hiyo utaratibu Unakuwa ni huo mpaka atakapokaa sawa hata Kama itafika miaka minne..
NB: kadri atakavyokaa muda mrefu bila kupata tiba ya kueleweka ndivyo na uwezekano wa kupona unavyozidi kupungua
ZINGATIA: Sio lazima kila mgonjwa wa masikio atibiwe kwa dizaini niliyoeleza hapa. Inategemea tatizo lake ni kubwa kiasi gani na utaalamu wa daktari.
iligarimu sh.ngap hadi kumaliza tatizo
 
Mpelelezi ekenywa specialize hospita hapo mwembe chai wanjua sana kwenye maskio wala usibishe nenda
Habarini ndugu zangu.

nna mchumba wangu anatatizo la kutosikia vizuri,hali hii imemtokea tu ivi karibuni zamani hakuwa na tatizo hili hata kidogo,

shida ilianza pale alipoenda field pale idara ya maji mwanza, kwa maelezo yake alikuwa kwenye kitengo cha kutibu maji,sasa humo kuna mashine zinaunguruma sana na walikuwa hawapewi headphones (labda walidharauliwa sababu ni wanafunzi wako tu field).

sasa toka aondoke masikio yake hayasikii vizuri hadi uongee kwa sauti, kaenda hospital kaambiwa ngoma za masikio zimeingia ndani kapewa dawa nyingi kinoma kameza zote lakini hali bado.

nmempeleka kwa waganga wa kienyeji kaambiwa eti kuna mwenzie kamroga asifaulu chuo kampa madawa kanywa hadi kachoka,chale za kutosha, n.k.

Ana miezi sita saiv tatzo bado.

Ushauri na msaada anayejua zaid juu ya hili tatizo anisaidie.
 
Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.
Nlinunua but bila mafanikio.
Baadae nlienda TMJ na kukutana na daktari mwingine wa masikio ambaye alinpa dawa za kumeza.nlimeza km miezi mitatu baadae akasema ninunue mashine,
Nkaona ngoja niende mhimbili nkawaeleza everything wakasema kama zile mashine za laki nane zimefeli, itakuwa settings nkaandikiwa niende kwajili ya settings ambapo tuliset ikagoma, wakasema niupgrade mashine ntafute za 1.2M kila moja.
Nlinunua moja sikuwa na pesa but nayo haikuonesha matumaini.

Final nkakutana na wengi ambao wanatatizo kama langu, wengine walitumia mashine bila mafanikio.
Nkaamua kulikubali tu hili tatizo.

Lilinipa stress sana,japo sahivi zimeoungua kigogo

Ndio maana nimeeleza hapo juu kuhusu, utayari na uwezo:
1: Tunaweza kufanya vipimo base line na kuzunguka hapa na pale tukaona kila kitu hakiwezekani, sayansi inabadilika kila siku.

2: Kuna watu wametoka hapa kwetu kwenda kwa wenzetu, ukiwa umeanzaishiwa na dawa za kansa. Kufika kule unaambiwa hii si kansa, sitisha dawa hili ni tatizo Y. Tumia dawa hii na endelea na maisha.

3: Kuna watu wameondoka hapa wangu wangu, ugonjwa haujulikani , lakini akifika kwa wenzetu unaambiwa tatizo ni Z. Mtu anawekwa kwenye dawa au tiba anarudi mzima.

4: Kuna watu wakifika hospitali akafanya Fbp, sukari, malaria, ultrasound na Xray. Wanakaa kikao cha familia kuwa tatizo halionekani, huo ndi uwezo wao.

NB: Sisimizi ukimweka kwenye kifuu ukamwambia hii ni bahari atakubali tu, kwani ndi uwezo wake.
 
Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.
Nlinunua but bila mafanikio.
Baadae nlienda TMJ na kukutana na daktari mwingine wa masikio ambaye alinpa dawa za kumeza.nlimeza km miezi mitatu baadae akasema ninunue mashine,
Nkaona ngoja niende mhimbili nkawaeleza everything wakasema kama zile mashine za laki nane zimefeli, itakuwa settings nkaandikiwa niende kwajili ya settings ambapo tuliset ikagoma, wakasema niupgrade mashine ntafute za 1.2M kila moja.
Nlinunua moja sikuwa na pesa but nayo haikuonesha matumaini.

Final nkakutana na wengi ambao wanatatizo kama langu, wengine walitumia mashine bila mafanikio.
Nkaamua kulikubali tu hili tatizo.

Lilinipa stress sana,japo sahivi zimeoungua kigogo
Umeongea ukweli mchungu mkuu
 
Dah pole sana. Kiukweli mtu amabaye hajapatwa na shida hii hawezi kuelewa adha anayopata mtu mwenye usikivu hafifu. Binafsi nikupe pole endelea kupambana Mwenyezi Mungu atafungua njia hakuna linaloshindikana kwake. Usikate tamaa. Nami nina shida hiyo binafsi nimemuachia Mungu.
 
Sema tu nchi zetu za kiafrica hizi... Ingekuwa nchi za wenzetu huko angeweza kuishtaki hiyo idara kwa kumsababishia matatizo.
 
mkuu we si uko USA ,huduma zako atazipate?
Mimi Sipo USA nipo ughaibuni huduma zangu utazipata nina wakala wangu jijini Dar ukini PM nitakupa contact zake wakala wangu ndie atakaye kupa dawa zako baada ya makubaliano mimi na wewe gharama za matibabu yako na utatumia dawa na kupona maradhi yako.
 
Aliyewahi kupata tatizo la usikivu hafifu na akapona alete mrejesho hapa, nitatoa zawadi ya elfu 50.

Kwa leo nihitimishe tu kwakusema nchi zetu nyingi za kiafrika bado hatujaweza kupata matibabu sahihi ya masikio.

Kwa vile umemalizia na nchi za africa sawa.
 
Aliyewahi kupata tatizo la usikivu hafifu na akapona alete mrejesho hapa, nitatoa zawadi ya elfu 50.

Kwa leo nihitimishe tu kwakusema nchi zetu nyingi za kiafrika bado hatujaweza kupata matibabu sahihi ya masikio.
Kwa kifupi masikio ishu complicated sana sio bongo tu duniani kote ukipata taizo la kusikia jikubali tu ngumu sana kurudi kama zamani
 
Unafikiri ni kama kuchoma sindano hii Cochlea implant bei yake ni TSH MILLION 39 unaweza kumudu?

A: Sina uhakika kama umesoma jumbe zilizotangulia zote. Kama huwezi chochote, sema siwezi kumudu na siyo kwamba haiwezekani.

Take home ilikuwa: watu wanaweza kufanya zaidi ya unavyowaza. Siyo kila tiba ya usikivu hafifu ni cochlear implant please!!.
Sina uhakika pia kama hizo milioni 39 unaweza kulinganisha na gharama ya kutokusikia maisha yako yote!!

Kuna mawazo mengi unaweza kuyatumia hapa:
1: Kata bima ya afya inayoeleweka, then subsidise kinachopelea.

2: Omba msaada toka mashirika au fanyiwa harambee na tumia kukata bima, ufanye kama 1 hapo juu.(Mbona tunachangia harusi millions of money??)

B: Tumefundishwa, don't judge the book by its cover.

1: Kuna wamasai walifika hospitali X, bibi yao alikuwa na shida ya moyo. Kwa tatizo lilivyokuwa ilionekana ni mambo ya Mwentezi tu bibi alikuwa hai. Kwa mtizamo wa nje pamoja na nguo zao watu waliwashangaa kama wanaweza kumudu gharama.

Cardiologist aliitwa on emergency bases kwa kuwa hali haikuwa nzuri na ilikuwa ni baada ya muda wa kazi pale hospitalini. The same night bibi aliwekewa pacemaker na gharama zikalipwa. Unajifunza chochote??

2: Kuna wale ambao ukija hospitali ukaambiwa gharama ni 500,000/= kutimiza tiba.
Familia husema hatuwezi, tukienda Bagamoyo vs Sumbawanga, ukiambiwa unahitajika kuleta ng'ombe wawili hupatikana.

3: Kuna wale ambao wakati tuko na mgonjwa gharama za kuuguza huonekana ni kubwa sana. Lakini mgonjwa akifariki utasikia: mimi niyanunua jeneza, mimi nitatoa usafiri wa gari, mimi nitatoa gari la kubeba waombolezaji. Tujitafakari sana binadamu.
 
Inshort, hebu utuambie ni nani amewahi kupona tatizo la kutosikia na ni wapi alipata hayo matibabu,

Ndio najua kuna aina nyingi za kutosikia vizuri lakini amini nakuambia hakuna aina hata moja inayotibika bongo, utapewa mavidonge debe moja ukimaliza wanakuambia sasa hapo inabidi utumie kwanza hearing device
Nikweli nimetumia zaidi ya million 4 na Hilo tatizo lipo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom