Asante ila nishazoea kwangu tatizo kwa sasapole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ila nishazoea kwangu tatizo kwa sasapole sana
Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.Ni kweli, lakini naomba tuelewe kwamba tiba ya mgonjwa yeyote:
1: Ni kukutana na mhudumu wa tatizo husika.
2: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa wa tatizo husika.
3: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa na shida husika na vitendea kazi.
4: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa husika, mwenye vitendea kazi na teknolojia husika.
5: Mhudumu wa tatizo husika, mwenye uelewa wa tatizo, mwenye vifaa husika, mwenye teknolojia husika, yuko motivated na hofu ya muumba.
NB: Hospitali siyo jengo wala jina la hospitali bali hayo hapo juu (mtu uliyekutana naye na alivyowezeshwa).
Watu wengi tunawapoteza au kubaki walemavu kwa kukosa mambo hayo hapo juu.
iligarimu sh.ngap hadi kumaliza tatizoDaah!.. Mpe pole sana huyo dada.. Mimi nimehangaika kutibu masikio kwa miaka miwili mfululizo hapo muhimbili.. Nashukuru Mungu nipo sawa sasa.. Kiufupi ukiziwi unasababishwa na sababu tofauti kwa kila mtu Kama kuzidisha dozi ya dawa mfano quinine name nyinginezo. Lakini pia kukaa sehemu yenye makelele kwa muda mrefu na hivyo kusababisha masikio yashindwe kuhimili kama alivyosema mdau hapo juice.. Huyu mgongwa aende mhimbili (isiwe sehemu nyigine) kwa kuwa ni madaktari wachache wanaoweza kuhandle issue ya masikio.. Hapo atakutana na daktari bingwa atampima kwa vifaa maalum ili kujua level ya kutosikia kwake.. Then atapewa dawa ambazo atatumia kwa muda mrefu (Mimi nilitumia miaka miwili) ambapo unamrza dawa kila siku kwa miezi mitatu then anasitisha kwa miezi mitatu, ikitimia miezi sita (baada ya mapumziko ya kutotumia dawa kwa miezi mitatu) atarudi tena kwa daktari wake na kupimwa usikivu tena na kuandikiwa dawa nyingine kwa miezi mitatu au zaidi. Kwa hiyo utaratibu Unakuwa ni huo mpaka atakapokaa sawa hata Kama itafika miaka minne..
NB: kadri atakavyokaa muda mrefu bila kupata tiba ya kueleweka ndivyo na uwezekano wa kupona unavyozidi kupungua
ZINGATIA: Sio lazima kila mgonjwa wa masikio atibiwe kwa dizaini niliyoeleza hapa. Inategemea tatizo lake ni kubwa kiasi gani na utaalamu wa daktari.
Habarini ndugu zangu.
nna mchumba wangu anatatizo la kutosikia vizuri,hali hii imemtokea tu ivi karibuni zamani hakuwa na tatizo hili hata kidogo,
shida ilianza pale alipoenda field pale idara ya maji mwanza, kwa maelezo yake alikuwa kwenye kitengo cha kutibu maji,sasa humo kuna mashine zinaunguruma sana na walikuwa hawapewi headphones (labda walidharauliwa sababu ni wanafunzi wako tu field).
sasa toka aondoke masikio yake hayasikii vizuri hadi uongee kwa sauti, kaenda hospital kaambiwa ngoma za masikio zimeingia ndani kapewa dawa nyingi kinoma kameza zote lakini hali bado.
nmempeleka kwa waganga wa kienyeji kaambiwa eti kuna mwenzie kamroga asifaulu chuo kampa madawa kanywa hadi kachoka,chale za kutosha, n.k.
Ana miezi sita saiv tatzo bado.
Ushauri na msaada anayejua zaid juu ya hili tatizo anisaidie.
🏥 ipo Dar Magomeni mwembe chai, uliza Ekenywa specialized hospital.asante,jina ya hiyo hospital inaitwaje
Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.
Nlinunua but bila mafanikio.
Baadae nlienda TMJ na kukutana na daktari mwingine wa masikio ambaye alinpa dawa za kumeza.nlimeza km miezi mitatu baadae akasema ninunue mashine,
Nkaona ngoja niende mhimbili nkawaeleza everything wakasema kama zile mashine za laki nane zimefeli, itakuwa settings nkaandikiwa niende kwajili ya settings ambapo tuliset ikagoma, wakasema niupgrade mashine ntafute za 1.2M kila moja.
Nlinunua moja sikuwa na pesa but nayo haikuonesha matumaini.
Final nkakutana na wengi ambao wanatatizo kama langu, wengine walitumia mashine bila mafanikio.
Nkaamua kulikubali tu hili tatizo.
Lilinipa stress sana,japo sahivi zimeoungua kigogo
Umeongea ukweli mchungu mkuuMimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.
Nlinunua but bila mafanikio.
Baadae nlienda TMJ na kukutana na daktari mwingine wa masikio ambaye alinpa dawa za kumeza.nlimeza km miezi mitatu baadae akasema ninunue mashine,
Nkaona ngoja niende mhimbili nkawaeleza everything wakasema kama zile mashine za laki nane zimefeli, itakuwa settings nkaandikiwa niende kwajili ya settings ambapo tuliset ikagoma, wakasema niupgrade mashine ntafute za 1.2M kila moja.
Nlinunua moja sikuwa na pesa but nayo haikuonesha matumaini.
Final nkakutana na wengi ambao wanatatizo kama langu, wengine walitumia mashine bila mafanikio.
Nkaamua kulikubali tu hili tatizo.
Lilinipa stress sana,japo sahivi zimeoungua kigogo
Dah pole sana. Kiukweli mtu amabaye hajapatwa na shida hii hawezi kuelewa adha anayopata mtu mwenye usikivu hafifu. Binafsi nikupe pole endelea kupambana Mwenyezi Mungu atafungua njia hakuna linaloshindikana kwake. Usikate tamaa. Nami nina shida hiyo binafsi nimemuachia Mungu.Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima upya usikivu na kunambia mashine itakayofaa ni mashine moja inauzwa laki nane na nusu.
Nlinunua but bila mafanikio.
Baadae nlienda TMJ na kukutana na daktari mwingine wa masikio ambaye alinpa dawa za kumeza.nlimeza km miezi mitatu baadae akasema ninunue mashine,
Nkaona ngoja niende mhimbili nkawaeleza everything wakasema kama zile mashine za laki nane zimefeli, itakuwa settings nkaandikiwa niende kwajili ya settings ambapo tuliset ikagoma, wakasema niupgrade mashine ntafute za 1.2M kila moja.
Nlinunua moja sikuwa na pesa but nayo haikuonesha matumaini.
Final nkakutana na wengi ambao wanatatizo kama langu, wengine walitumia mashine bila mafanikio.
Nkaamua kulikubali tu hili tatizo.
Lilinipa stress sana,japo sahivi zimeoungua kigogo
Unafikiri ni kama kuchoma sindano hii Cochlea implant bei yake ni TSH MILLION 39 unaweza kumudu?View attachment 2099552
Unafikiri hii ni kazi bure.
Don't say never in Medicine or science. Pia bado kuna nafasi ya supernatural power.
Tuweke akiba ya maneno.
Mimi Sipo USA nipo ughaibuni huduma zangu utazipata nina wakala wangu jijini Dar ukini PM nitakupa contact zake wakala wangu ndie atakaye kupa dawa zako baada ya makubaliano mimi na wewe gharama za matibabu yako na utatumia dawa na kupona maradhi yako.mkuu we si uko USA ,huduma zako atazipate?
Aliyewahi kupata tatizo la usikivu hafifu na akapona alete mrejesho hapa, nitatoa zawadi ya elfu 50.
Kwa leo nihitimishe tu kwakusema nchi zetu nyingi za kiafrika bado hatujaweza kupata matibabu sahihi ya masikio.
Kwa kifupi masikio ishu complicated sana sio bongo tu duniani kote ukipata taizo la kusikia jikubali tu ngumu sana kurudi kama zamaniAliyewahi kupata tatizo la usikivu hafifu na akapona alete mrejesho hapa, nitatoa zawadi ya elfu 50.
Kwa leo nihitimishe tu kwakusema nchi zetu nyingi za kiafrika bado hatujaweza kupata matibabu sahihi ya masikio.
Unafikiri ni kama kuchoma sindano hii Cochlea implant bei yake ni TSH MILLION 39 unaweza kumudu?
Wewe ni mwenzangu!Hata nje ni tatizo kubwa sana ni nimepata miaka 6 sasa tangu 2016 kiutani tani sijapona mpaka leo
Natumia ishara somtime nasikia ila sana sna kwenye ishu zangu natumia vimemo natembea navyo mtu ananiandikia ndo life service nilishatupa zilinishinda
Hizo kazi sasa ndio tupewe viziwi!Pole yake sana...
Hata pale IPTL usipovaa za kuzuia sauti masikioni unatoka kiziwi...
Nikweli nimetumia zaidi ya million 4 na Hilo tatizo lipoInshort, hebu utuambie ni nani amewahi kupona tatizo la kutosikia na ni wapi alipata hayo matibabu,
Ndio najua kuna aina nyingi za kutosikia vizuri lakini amini nakuambia hakuna aina hata moja inayotibika bongo, utapewa mavidonge debe moja ukimaliza wanakuambia sasa hapo inabidi utumie kwanza hearing device