NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Usiivae.Nimepimwa macho nikapewa miwani nikaambiwa niivae muda wote.Tatizo nikivaa naona kizungu zungu marue rue badala ya kuona vitu mbele naona mawingu blurred images.Naomba msaada Opticians na Ophthalmologists
RabheekaUmepewa lensi kubwa kushinda tatizo lako. Rudi ulikopima uwaeleze hiyo shida. Vinginevyo utazidisha tatizo
Uniquemseminari .