Msaada: Tatizo la macho, nikivua miwani naona kizunguzungu

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Nimepimwa macho nikapewa miwani nikaambiwa niivae muda wote.Tatizo nikivaa naona kizungu zungu marue rue badala ya kuona vitu mbele naona mawingu blurred images.Naomba msaada Opticians na Ophthalmologists
 
Usiivae.
 
Tatizo linaweza kuwa labda miwani uliyopewa ina wingu fulani huitwa "cataracts" ambalo huzuia mwanga wa kutosha kuingia kwenye retina.

Hivyo nakushauri usivae hiyo miwani na rudi kwa mtaalamu mweleze atakusaidia
 
Back
Top Bottom