Ezekia Erasto
Member
- Jan 13, 2025
- 7
- 5
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni mwangu hasa nikikaa sehemu yanye utulivu. Je hii husababishwa na nini?, Naombeni msaada kwa mwenye uelewa.