Msaada tatizo la masikio

Msaada tatizo la masikio

Ezekia Erasto

Member
Joined
Jan 13, 2025
Posts
7
Reaction score
5
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni mwangu hasa nikikaa sehemu yanye utulivu. Je hii husababishwa na nini?, Naombeni msaada kwa mwenye uelewa.
 
Pole sana.

Kama ulivyoambiwa hospitalini kwamba tatizo lako la kupungua kwa usikivu lilisababishwa na earphones basi hata hiyo hali ya sasa ya kusikia sauti ya kujirudia au masikio kulia (tinnitus) nalo ni kutokana na athari za matumizi ya earphones 🎧 kwa muda mrefu au zikiwa katika sauti kubwa sana.

Kuweka/kusikiliza sauti kubwa sana kwenye earphones 🎧 husababisha mtetemo (vibration) mkubwa sana wa seli za sauti (hair cells) kwenye sehemu ya kati ya sikio. Hii husababisha hizo seli kufa na kusababisha usikivu kupungua au kupotea kabisa.

Pia kutokana na matumizi ya muda mrefu wa earphones 🎧 zikiwa na sauti kubwa husababisha masikio kulia (tinnitus) au kusikia hizo sauti ukiwa katika hali ya utulivu.

Ni muhimu ukaonana na daktari bingwa wa masikio, pua na koo (ENT Specialist) kwa ajili ya msaada zaidi.

Kila la kheri.
 
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni mwangu hasa nikikaa sehemu yanye utulivu. Je hii husababishwa na nini?, Naombeni msaada kwa mwenye uelewa.
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako ya masikio sauti kujirejea rejea masikioni mwako na usikivu mdogo aka (Hearing loss).Sauti kujirejereja masikioni mwako Kwa kitaalamu tunaitwa ugonjwa wa (Tinnitus) na pia inasababisha masikio kuvuma na kupiga makelel. Hakuna tiba Hospitali watakuambia utumie kijispika uweke kwenye masikioni mwako ili upate kusikia lakini hiyo siyo dawa ya maradhi yako ya masikio. Ninayo Dawa ya kuwezakukutibia maradhi yako ya masikio ukawezakupona kabisa ukiweza nitafute kwa wakati wako. Uguwa pole.
 
Ta

Changanya mafuta ya kenge na ya kuku uwe unatoneza kutwa mara2
 
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako ya masikio sauti kujirejea rejea masikioni mwako na usikivu mdogo aka (Hearing loss).Sauti kujirejereja masikioni mwako Kwa kitaalamu tunaitwa ugonjwa wa (Tinnitus) na pia inasababisha masikio kuvuma na kupiga makelel. Hakuna tiba Hospitali watakuambia utumie kijispika uweke kwenye masikioni mwako ili upate kusikia lakini hiyo siyo dawa ya maradhi yako ya masikio. Ninayo Dawa ya kuwezakukutibia maradhi yako ya masikio ukawezakupona kabisa ukiweza nitafute kwa wakati wako. Uguwa pole.
Ahsante, unapatikana wapi
 
Ahsante, upo wapi
 
hii hali kweli wanapona? Mimi tatizo langu niliambiwa liko kwenye nerve za sikio, naweza kusikia ila nashindwa kuelewa kilichosemwa.
 
Back
Top Bottom