Ezekia Erasto
Member
- Jan 13, 2025
- 7
- 5
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni mwangu hasa nikikaa sehemu yanye utulivu. Je hii husababishwa na nini?, Naombeni msaada kwa mwenye uelewa.
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako ya masikio sauti kujirejea rejea masikioni mwako na usikivu mdogo aka (Hearing loss).Sauti kujirejereja masikioni mwako Kwa kitaalamu tunaitwa ugonjwa wa (Tinnitus) na pia inasababisha masikio kuvuma na kupiga makelel. Hakuna tiba Hospitali watakuambia utumie kijispika uweke kwenye masikioni mwako ili upate kusikia lakini hiyo siyo dawa ya maradhi yako ya masikio. Ninayo Dawa ya kuwezakukutibia maradhi yako ya masikio ukawezakupona kabisa ukiweza nitafute kwa wakati wako. Uguwa pole.Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni mwangu hasa nikikaa sehemu yanye utulivu. Je hii husababishwa na nini?, Naombeni msaada kwa mwenye uelewa.
Changanya mafuta ya kenge na ya kuku uwe unatoneza kutwa mara2Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni mwangu hasa nikikaa sehemu yanye utulivu. Je hii husababishwa na nini?, Naombeni msaada kwa mwenye uelewa.
Ahsante, unapatikana wapiMkuu pole kwa hayo maradhi yako ya masikio sauti kujirejea rejea masikioni mwako na usikivu mdogo aka (Hearing loss).Sauti kujirejereja masikioni mwako Kwa kitaalamu tunaitwa ugonjwa wa (Tinnitus) na pia inasababisha masikio kuvuma na kupiga makelel. Hakuna tiba Hospitali watakuambia utumie kijispika uweke kwenye masikioni mwako ili upate kusikia lakini hiyo siyo dawa ya maradhi yako ya masikio. Ninayo Dawa ya kuwezakukutibia maradhi yako ya masikio ukawezakupona kabisa ukiweza nitafute kwa wakati wako. Uguwa pole.
Nayapata wapiTa
Changanya mafuta ya kenge na ya kuku uwe unatoneza kutwa mara2
Ahsante mkuuPole sana mkuu
Ahsante, upo wapiMkuu pole kwa hayo maradhi yako ya masikio sauti kujirejea rejea masikioni mwako na usikivu mdogo aka (Hearing loss).Sauti kujirejereja masikioni mwako Kwa kitaalamu tunaitwa ugonjwa wa (Tinnitus) na pia inasababisha masikio kuvuma na kupiga makelel. Hakuna tiba Hospitali watakuambia utumie kijispika uweke kwenye masikioni mwako ili upate kusikia lakini hiyo siyo dawa ya maradhi yako ya masikio. Ninayo Dawa ya kuwezakukutibia maradhi yako ya masikio ukawezakupona kabisa ukiweza nitafute kwa wakati wako. Uguwa pole.
Tazama katika maduka ya asili ila nenda kwa waaminifu upate original kabisaa, ukikosa ama kama hakuna maduka ya dawa asili sehemu ulipo waeza nitafuta nitakupatiaNayapata wapi
Nisaidie namba zakoTazama katika maduka ya asili ila nenda kwa waaminifu upate original kabisaa, ukikosa ama kama hakuna maduka ya dawa asili sehemu ulipo waeza nitafuta nitakupatia
hii hali kweli wanapona? Mimi tatizo langu niliambiwa liko kwenye nerve za sikio, naweza kusikia ila nashindwa kuelewa kilichosemwa.Mkuu pole kwa hayo maradhi yako ya masikio sauti kujirejea rejea masikioni mwako na usikivu mdogo aka (Hearing loss).Sauti kujirejereja masikioni mwako Kwa kitaalamu tunaitwa ugonjwa wa (Tinnitus) na pia inasababisha masikio kuvuma na kupiga makelel. Hakuna tiba Hospitali watakuambia utumie kijispika uweke kwenye masikioni mwako ili upate kusikia lakini hiyo siyo dawa ya maradhi yako ya masikio. Ninayo Dawa ya kuwezakukutibia maradhi yako ya masikio ukawezakupona kabisa ukiweza nitafute kwa wakati wako. Uguwa pole.
Nambari zangu ni 0656303019.Nisaidie namba zako