Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

Ibanda1

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
723
Reaction score
1,125
Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada ulilitatuaje?
 
Kunahaja ya kuongeza baiskeli nyumbn maana Kila tatizo nalijuwa
 
IST yangu inawasha hii taa mwaka saaana bado nadunda nayo tu
 
Back
Top Bottom