MSAADA: Tatizo la vitu kutembea mwilini

Kumbe upo vizuri 👏👏
Umemaliza Kila kitu Sina Cha kuandika
 
Vitu kutembea mwilini ni dalili ya uchawi unao mwilini mwako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole mkuu.
 
Mwili kucheza cheza wenyewe ni dalili za mzunguko mbaya wa damu mwilini au mfumo mishipa ya fahamu.

Mfano mdogo kama umewahi kuona mbuzi anachinjwa damu ikitoka unaona nyama zinatikisika zenyewe.

Dalili za kusikia maruwe ruwe ni Moja kwa Moja linahusiana na tatizo hilo la mzunguko mbaya wa damu ambao unaweza kubatana na dalili za ncha za vidole vya mikono au miguu kufa ganzi au miguu kuwa kama inawaka moto.
Nenda hospitali kapime moyo na pressure.Ukiwa na tabia ya kutafuna kitumguu swaumu yaweza kupunguza au dawa za wamasai za kunjwa kwa supu au maziwa
 
Tafuta tiba za kizungu kwanza huku ukimpa Mungu Maisha yako,

Pia ili maombi yako yafanikiwe unabidi kuwa mchaMungu wa kweli na sio Uzinzi , uchafu nk hapo hutoboi.

Cha kufanya kuwa Msafi wa Roho , nenda ufanye vipimo sahihi katika hosptali sahii (kubwa) na Mungu yupo Pamoja nawe utapata majibu ya maradhi yako .

Kuangaika kwa Manabii utaendelea kukuza tatizo tu
 

Hospital nikafanye kipimo kipi mkuu maana tatizo ni la muda sana huu mwaka karibia wa tano sasa
 
Nimeshaenda lakini bado [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Kuna watu walinipeleka hadi kwa masheikh ambapo wao walipona matatizo yao lakini mimi ndo kwanza hali ipo vile vile
Miujiza inachagua watu jmn
Hapana usikate tamaa na usiache kwenda kwenye maombi, endelea kwenda utakutana na uponyaji wako tu.

Fuata kile utakachokuwa unaelekezwa na watumishi wa Mungu kwa umakini na epuka kuchanganya nuru na giza yaani kwenda kwenye maombi huku kwenye ushirikina upo (japo najua ukibanwa na shida utatafuta kila njia)..

Nakutakia uponyaji mwema na Mungu akukumbuke.
 

Asante [emoji120]
 
Mkuu wewe umefanyiwa uchawi, na hao wachawi ukiendelea kuwachekea watakuweka msukule bure na hautakuja kufanikiwa wala kuwa na furaha maisha yako yote. Ushauri wangu wewe jiombee sana kwa M/Mungu lakini la muhimu tafuta tiba kwa njia yeyote(Kwa upande wangu tafuta masheikh wa kweli sio watoto wa mjini) maana kila jambo lina utaalamu wake usifikirie utaumwa jino ukaomba tu ukapona hilo halipo hata kwa hao wachamungu, ila muombe sana mungu akuponye kwa njia yeyote huku ukiwa unaendelea kujihangaikia kote kote.
 

Nitapata wapi masheikh wa kweli
 
Kumbe upo vizuri 👏👏
Umemaliza Kila kitu Sina Cha kuandika
That's all
Mafuta, keki, vitambaa au maji ya upako ni kama uganga tu maana Yesu hawezi kukaa kwenye mafuta milele na milele. Utaponywa tatizo hili kwa muda litakuja lingine utaenda tena utalishwa mpaka mende wa upako.
Hawa watu hawamtaki Mungu ila wanazitaka kazi za Mungu.
 

Sijui nikujibu vipi unielewe sio Kama sisali ila nimepatwa na ugonjwa nisiojua tiba yake ndo maana nimekuja kuomba msaada
Halaf kuna ndugu zangu kama watatu walikua wanaumwa lakini sio ugonjwa kama wangu wakaenda kwa sheikh mkoa fulani wakapona kabisa
Lakini sheikh yuleyule mimi alikataa kunitibu sasa sijui wachawi wanawapaga rushwa [emoji24]
Akaanza kuniambia vitu havina uhalisia sijui nikatibiwe makaburini nikaachana nae nikawa naenda kwenye maombi tuu
Lakini bado sijapona tena nikisali mwili wote unawaka moto nyama za mwili zinatingishika kupita kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…