Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ok niliowaona ni ndugu zangu. Walitumia mganga kwa kua wao walishindwa kunidhuru
Na nilikua mdogo sana sikua na ufahamu kwa wakati huo
Na sio wao walioniletea mganga direct bali walintumia mtu wakampa picha halisi ilivyokua kwa hiyo huyo mtu alikuja kwangu kama ananisaidia kumbe anaenda kunimalizia kabisa
Kwa hiyo ndivyo ilivyokua ila nilivyoanza kuumwa ndio niligundua nikaacha kwenda kwa huyo mganga
Ninachotafuta sasa ni tiba tuu sio kingine
Nb: usiombe uwaone wachawi watakutesa sana
So walikuwa tayari kukuroga ili usitoe siri zao kwa mtu yoyote, lakini hapohapo wakawa tayari kumsimulia mtu mwingine picha halisi ya ilivyokuwa ili atumike kukushawishi ukubali tiba ya mganga?
Ukiwa ulikuwa ni mdogo na kwamba ulikuwa haujitambui wala kuwa na ufahamu wakati huo, ni nani aliyekusimulia?
Twende taratibu tu.