- Thread starter
- #181
Nimekuambia kitu serious unaleta utani...
Sawa...Maisha ni yako lakini.
Ni maisha yangu ndiyo na sijapenda kuumwa hivi ila stroke huko umefika mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuambia kitu serious unaleta utani...
Sawa...Maisha ni yako lakini.
Mama angu hiyo ni dalili ya stroke....wahi hospitali ukatibiwe.Ni maisha yangu ndiyo na sijapenda kuumwa hivi ila stroke huko umefika mbali
Mama angu hiyo ni dalili ya stroke....wahi hospitali ukatibiwe.
Inaanzaga vitu vinatembea mara unaanza kusikia kama ganzi mwilini mara ndo hivo umepooza
Naomba nitoe ushuhuda na nikuelekeze jinsi ya kusali kwa kunena kwa lugha..Jicho la tatu ninalo tangu nikiwa mtoto kwa hiyo sijui nani kalifungua maana nimezaliwa hivi
Kwa mganga nilipelekwa sio kwamba nilienda mwenyewe
Kuhusu kufanya tendo la ndoa sijumbuki ni lini ila ni muda umepita
Sijawahi kunena kwa lugha ila nikisali kwa imani sana huwa nalia
Ngoja nikupe ushuhuda kwanza hata mimi nina Vita sana vya ukoo, toka 2019 ninamiujiza mingi na nimeshuhudia mengi maishani mwangu...Jicho la tatu ninalo tangu nikiwa mtoto kwa hiyo sijui nani kalifungua maana nimezaliwa hivi
Kwa mganga nilipelekwa sio kwamba nilienda mwenyewe
Kuhusu kufanya tendo la ndoa sijumbuki ni lini ila ni muda umepita
Sijawahi kunena kwa lugha ila nikisali kwa imani sana huwa nalia
Njoo Tanga utaponaMimi ni ke mkuu
... au miujiza inachagua watu
Au miujiza inachagua jamani, mbona sielewi?
Hizi kauli zinadhihirisha kuwa something is wrong katika tumaini lakoMiujiza inachagua watu jmn
Basi kaza fuvu dada....ukipona mimi sipati faida yoyoteSio kweli ninawafahamu watu waliopooza hawakua na hizi dalili au wewe umepooza
Basi kaza fuvu dada....ukipona mimi sipati faida yoyote
Wewe ndo hutaki kuponaMbona sikuelewi au hutaki nipone
Pili naomba nikwambie kwenye maombi kuna nguvu nitakuelekeza jinsi ya kumuamsha roho mtakatifu ndani yako uweze kunena kwa lugha (ila usiache na kwenda kanisani)Jicho la tatu ninalo tangu nikiwa mtoto kwa hiyo sijui nani kalifungua maana nimezaliwa hivi
Kwa mganga nilipelekwa sio kwamba nilienda mwenyewe
Kuhusu kufanya tendo la ndoa sijumbuki ni lini ila ni muda umepita
Sijawahi kunena kwa lugha ila nikisali kwa imani sana huwa nalia
lee jack naimani Mungu atakugusa
Kwenye Isaya 59:1 anasema mkono wake sio mzito usiweke kuokoa na sikio lake sio zote lisiweze kusikia.
Akakufanyie muujiza akakuinue na uishi ukimtukuza na kumsifu.
Vijana wengi tuna shida nyingi sana, kuanzia mafanikio ya kiuchumi hadi kimwili,...tumefungwa Sana na pepo za uzinzi, tumeshikiriwa sana fahamu zetu na tunafanya maagano mazito sana bila kujua....natamani niandike mengi lakini naomba miishie hapa Mungu ni mwema akakuguse.
Asante Mungu akusimamie usiache kwenda na kanisani....usiache kufunga na kuomba... kufunga kuna nguvu Sana.Sawa nashukuru sana
Asante Mungu akusimamie usiache kwenda na kanisani....usiache kufunga na kuomba... kufunga kuna nguvu Sana.
Usiache. Endelea kutumia.Niliwahi kununua msaka uchawi na wala sio ghali maduka ya asili kijiko wanaanza miatano ni chungu sana sijawahi kuona ukinywa nyingi unatapika
Basi nilipokunywa kwa mara ya kwanza kabisa nikiwa nimejipumzisha ghafla mbele yangu nikamuona mtu mwanaume mfupi mnene kiasi amenisimamia kwa mbele nilipiga kelele akapotea kuanzia siku hiyo sikunywa tena msaka uchawi
Mtoto mdogo wewe, endelea kunyonya maziwa ya mama ukue ukue kidogo.Hehe njaa zitakuua wewe, kumbe muda wote huo unahangaika ili kupitisha hiza agenda zako?😂😂.
Usiache. Endelea kutumia.
Mpaka ujisikie nafuu.Kwa muda gani