kama unajiamini kichwani
ADVANCE ndo njia sahihi coz ubongo utatanuka ili baadae uweze kupokea
fresh masomo ya chuo
lakini kama umri wako ni mkubwa, hujiamini na hupendi kusumbuka nenda
tech.college
ila wewe huoni raha wakiuliza wenye cheti cha form six na ww upo...!!hio
ya chuo ni shortcut ambayo itakunyima cheti cha form six
We appriciate
-o level sitting (only once)
-a level sitting (only once)
-degree holding ....!
-..............!nk
achana na mambo ya chuo wee nenda a-level...!
over